Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine ambao hawakutakiwa ni pamoja na Babu mwenyewe aliyepewa Uwaziri wa Mipango ya Uchumi, hasimu mwingine wa Karume, Othman Sharrif, ambaye alifanywa Afisa Mifugo wa Mkoa, Mtwara, na Balozi Salim Ahmed Salim wakati huo Balozi wa Zanzibar nchini Misri ikaridhiwa aendelee kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano nchini humo.
Hata hawa waliokuwa wanatesa, kuteka na kuuwa watu kipindi Cha uongozi dhalimu wa awamu ya Tano wajiandae.Mmejuaje kazi yake na cheo chake, Koplo, kama hamjui ni nani mpaka leo ?
Na ni tume gani au mahakama ipi ilichunguza mauaji haya na kuja na hizo nadharia, vyanzo vyako ni nini?
Na Mungu amlaze pema peponi mpendwa wetu Abeid Karume, mpendwa wetu wewe na nani?
Karume alimuua baba yake Umudi aliyekuja kulipiza kisasi, alimuua Makamu wa Rais Kassim Hanga, alimuua balozi wa Marekani na Waziri wa Elimu Othman Sharrif, na wengine leke leke walitupwa baharini na mizigo ya mawe, waliteswa na vikosi vya katili Mandera kwenye jela ya Bamkwe...mikono yake imejaa damu.....
Alazwe pema peponi mpendwa wetu Abeid Karume, mpendwa wetu wewe na nani ?
Tumedanganywa mashuleni, tulikuwa watoto, na ukubwani pia mtudanganye ? Hell freaking no.
Halafu kila mwaka wanaenda kufanya sala kwenye kaburi la Karume, siku hiyo ikifika magazeti yanaandika Karume aliuliwa na wapinga mapinduzi.Hata hawa waliokuwa wanatesa, kuteka na kuuwa watu kipindi Cha uongozi dhalimu wa awamu ya Tano wajiandae.
Kesi ya Mbowe imewatambulisha watekaji.
Mie naamini ni suala la Muda tu.
Nasikia na huyu mzee alikuwa na mambo ya ki- MaguAbeid Karume aliuawa kwa kipigwa Risasi Tarehe 7/4/1972
Risasi nane zilitolewa mwilini kwake mwili wake ulipofikishwa kwenye Hospitali ya V. I. Lemin, mjini Unguja kwa uchunguzi,
Sawa na idadi ya miaka minane ya utawala wake tangu 1964 hadi kifo chake.
TUKIO LENYEWE LILIKUA HIVI;-
Mambo ya ki-Magu ? Magu ni malaika wa bwana mbele ya Karume...Nasikia na huyu mzee alikuwa na mambo ya ki- Magu
Yani uue wenzio bila sababu za msingi halafu na wewe usiuliwe hiyo ni sheria ya wapi ya asili?...sheria ya asili lazima ichukue nafasi yake, ijapokuwa wengine walitumika na kutolewa mbuzi wa kafara tu...
Amelipwa hapahapa duniani..mtu muovu sana huyuMambo ya ki-Magu ? Magu ni malaika wa bwana mbele ya Karume...
Magu kampoteza Ben Saa Nane, who knows Ben Saa Nane ?
Karume kawapoteza mawaziri... Mabalozi wa Nyerere... Karume kampoteza Vice President! Kassim Hanga, who was he, Vice President no less...
baba Humudi, a true blue Zanzibar revolutionary, aliwekwa kwenye gunia, gunia likaburuzwa kwenye kokoto huku linatandikwa fimbo, wakamtoa roho. Kisa? Alihoji mikopo ya Karume na deni la Taifa, for all we can think of. Mtoto kaja kutafuta haki kwa njia anazozijua yeye, halafu wanatuambia Karume aliuliwa na wapinga mapinduzi, get the hell outta here...
Kumbuka pia vitabu hivo hivo vya shuleni vinafundisha kwamba Karume ndiye aliyeongoza mapinduzi Zanzibar while sio kweli. Kuna mengi ambayo tunadanganywa sana na vitabu vya historiaVitabu vya Historia mashuleni havisimulii haya for reference
Hii tuhuma inazungumzwa sana lakini haijawahi kuthibitishwa
Ndiyo hicho alisisitiza Dkt Magufuli viandikwe ila eti baada ya kufariki Prof Ndalichako akaona amkomoe Dkt Magufuli kwa kuachana na huo mpango, yaani hawajui nao historia yao itakufa kama mende. Hakuna atakaye mkumbuka Mama Samia.Vitabu vya Historia mashuleni havisimulii haya for reference
Hivi Hamoud na wenzie waliingia vipi ukumbulini na kuanziaha mashambulizi ,ilihali ulinzi ulianzia nje ya ukumbi mpaka ndani alipo Mzee.