Tukio la kifo cha Sheikh Abeid Karume hatua kwa hatua

Tukio la kifo cha Sheikh Abeid Karume hatua kwa hatua

Mzee alikuwa hatakii muungano tena yule bwana wa buti buti aka muwahisha ...ni hayo tu kwa leo
 
Wengine ambao hawakutakiwa ni pamoja na Babu mwenyewe aliyepewa Uwaziri wa Mipango ya Uchumi, hasimu mwingine wa Karume, Othman Sharrif, ambaye alifanywa Afisa Mifugo wa Mkoa, Mtwara, na Balozi Salim Ahmed Salim wakati huo Balozi wa Zanzibar nchini Misri ikaridhiwa aendelee kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano nchini humo.

Wengine ni Kassim Hanga aliyefukuzwa na kupelekwa Dar es Salaam toka Unguja .
Mzee Aman Thani anasimulia kumbukumbu za zama hivyo za watu kutimuliwa, kufukuzwa, kupotea ..



Source : MzeeBarwani
 
Dubai, UAE
Simulizi za mhanga wa mapinduzi Mzee Aman Thani toka



Jaha Ubwa alipokua gerezani Zanzibar watu wa Makunduchi wakamkejeli; "Tulipotaka kusali Ijumaa ukatukataza na ukasema dhambi zenu leo nitazichkua mimi." Jaha Ubwa alilia machozi.


Mzee Aman aliyepata kupelekwa gerezani akiwa na wenzie wengi kina Mdungi Ussi, Jimmy Ringo, Jaha Ubwa , Mzee Mbaba, Alhalifa Misry...Hashim Bahruan , Saleh Master ..
Source : MzeeBarwani
 
Dubai, UAE
Mzee Aman Thani Fairuz anaendelea na simulizi ya mateso gerezani akiwa na wenzie .



Kapelekwa kwa Bamkwe Mandera Zanzibar jela ya adhabu. Kapigwa na kuadhibiwa mpaka kufungwa kitanzi na kutishiwa kupigwa risasi. Kaadhibiwa katika mwezi wa Ramadhani na huku amefunga.
Source : MzeeBarwani
 

KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA - 2


Mzee Aman Thani anaelezea yaliyomtokea baada ya Mapinduzi ya Zanzibar

Source : Bin Seif
 
Mmejuaje kazi yake na cheo chake, Koplo, kama hamjui ni nani mpaka leo ?

Na ni tume gani au mahakama ipi ilichunguza mauaji haya na kuja na hizo nadharia, vyanzo vyako ni nini?

Na Mungu amlaze pema peponi mpendwa wetu Abeid Karume, mpendwa wetu wewe na nani?

Karume alimuua baba yake Umudi aliyekuja kulipiza kisasi, alimuua Makamu wa Rais Kassim Hanga, alimuua balozi wa Marekani na Waziri wa Elimu Othman Sharrif, na wengine leke leke walitupwa baharini na mizigo ya mawe, waliteswa na vikosi vya katili Mandera kwenye jela ya Bamkwe...mikono yake imejaa damu.....

Alazwe pema peponi mpendwa wetu Abeid Karume, mpendwa wetu wewe na nani ?

Tumedanganywa mashuleni, tulikuwa watoto, na ukubwani pia mtudanganye ? Hell freaking no.
Hata hawa waliokuwa wanatesa, kuteka na kuuwa watu kipindi Cha uongozi dhalimu wa awamu ya Tano wajiandae.

Kesi ya Mbowe imewatambulisha watekaji.

Mie naamini ni suala la Muda tu.
 
Hata hawa waliokuwa wanatesa, kuteka na kuuwa watu kipindi Cha uongozi dhalimu wa awamu ya Tano wajiandae.

Kesi ya Mbowe imewatambulisha watekaji.

Mie naamini ni suala la Muda tu.
Halafu kila mwaka wanaenda kufanya sala kwenye kaburi la Karume, siku hiyo ikifika magazeti yanaandika Karume aliuliwa na wapinga mapinduzi.

Humudi mwanajeshi wa JWTZ babaake alipigania Uhuru wa Zanzibar, mwanae anapingaje mapinduzi ? Viongozi waongooooo…. halafu wanataka tuwaite waheshimiwa...
 
Yani uue wenzio bila sababu za msingi halafu na wewe usiuliwe hiyo ni sheria ya wapi ya asili?...sheria ya asili lazima ichukue nafasi yake, ijapokuwa wengine walitumika na kutolewa mbuzi wa kafara tu...
 
Abeid Karume aliuawa kwa kipigwa Risasi Tarehe 7/4/1972

Risasi nane zilitolewa mwilini kwake mwili wake ulipofikishwa kwenye Hospitali ya V. I. Lemin, mjini Unguja kwa uchunguzi,
Sawa na idadi ya miaka minane ya utawala wake tangu 1964 hadi kifo chake.

TUKIO LENYEWE LILIKUA HIVI;-
Nasikia na huyu mzee alikuwa na mambo ya ki- Magu
 
Nasikia na huyu mzee alikuwa na mambo ya ki- Magu
Mambo ya ki-Magu ? Magu ni malaika wa bwana mbele ya Karume...

Magu kampoteza Ben Saa Nane, inasemwa, hatuna hakika

Karume kawapoteza mawaziri wazi wazi... Kawapoteza mabalozi wa Nyerere... Kampoteza Vice President! Kassim Hanga, who was Vice President no less...

baba Humudi, a true blue Zanzibar revolutionary, aliwekwa kwenye gunia, gunia likaburuzwa kwenye kokoto huku linatandikwa fimbo, wakamtoa roho. Kisa? Alihoji mikopo ya Karume na deni la Taifa, for all we can think of. Mtoto kaja kutafuta haki kwa njia anazozijua yeye, halafu wanatuambia Karume aliuliwa na wapinga mapinduzi, get the hell outta here...
 
March,17 1921
Yani uue wenzio bila sababu za msingi halafu na wewe usiuliwe hiyo ni sheria ya wapi ya asili?...sheria ya asili lazima ichukue nafasi yake, ijapokuwa wengine walitumika na kutolewa mbuzi wa kafara tu...
 
Mambo ya ki-Magu ? Magu ni malaika wa bwana mbele ya Karume...

Magu kampoteza Ben Saa Nane, who knows Ben Saa Nane ?

Karume kawapoteza mawaziri... Mabalozi wa Nyerere... Karume kampoteza Vice President! Kassim Hanga, who was he, Vice President no less...

baba Humudi, a true blue Zanzibar revolutionary, aliwekwa kwenye gunia, gunia likaburuzwa kwenye kokoto huku linatandikwa fimbo, wakamtoa roho. Kisa? Alihoji mikopo ya Karume na deni la Taifa, for all we can think of. Mtoto kaja kutafuta haki kwa njia anazozijua yeye, halafu wanatuambia Karume aliuliwa na wapinga mapinduzi, get the hell outta here...
Amelipwa hapahapa duniani..mtu muovu sana huyu
 
Vitabu vya Historia mashuleni havisimulii haya for reference
Kumbuka pia vitabu hivo hivo vya shuleni vinafundisha kwamba Karume ndiye aliyeongoza mapinduzi Zanzibar while sio kweli. Kuna mengi ambayo tunadanganywa sana na vitabu vya historia
 
Haya Mambo Mastermind alikuwa Ni Mchonga... Karume alikuwa anazidiwa akili tu na kutenda kwa kuambiwa yeyote anaye mpinga amuondoe asije kumpindua na yeye...

Hata hayo mapinduzi ...Mchonga ndie mpangaji akamleta mpaka Okelo toka Uganda ..baadae wote kawaulisha..

Himidi alitumwa na Mchonga..baada ya karume kuambiwa amuonde babaake Himidi .. halafu kamshawishi karume akamsomeshe mtoto wake kumbe alishapanga kwamba huyo ndio atamuondoa karume baadae.

Kama ukatili basi kiumbe alikuwa Mchonga ..sema anaakili Sana Yule mtu

Kafanya mengi Sana kizani!

Karume alishaanza kugubuka ndio Mchonga akampeleka..

Hata hili muunganiko Kama karume angeendelea kuishi usingekuwa hivi!



Ila haya huwa watu wananyuti! Tu..
 
Vitabu vya Historia mashuleni havisimulii haya for reference
Ndiyo hicho alisisitiza Dkt Magufuli viandikwe ila eti baada ya kufariki Prof Ndalichako akaona amkomoe Dkt Magufuli kwa kuachana na huo mpango, yaani hawajui nao historia yao itakufa kama mende. Hakuna atakaye mkumbuka Mama Samia.
 
Hivi Hamoud na wenzie waliingia vipi ukumbulini na kuanziaha mashambulizi ,ilihali ulinzi ulianzia nje ya ukumbi mpaka ndani alipo Mzee.

Homoud alikua ni high ranked Soldier, na vilevile alikua ni Shemegi wa Karume, Dada yake alikua ni mke wa Mzee.
 
Back
Top Bottom