Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
kwahiyo itkuwa saa saba mchana?
View attachment 1440024
Hizo athari ni kwa majibu wa Nolle mwaka 1979 na zinaonekana kutokana na mambo makubwa mawili
Mwezi umekuwa ukihusisha na imani nyingi mno Duniani na hivyo tukio hili linaweza kuwa taashira kwenye masuala ya imani.
Sambamba na masuala hayo ya imani baadhi ya maandiko unahusisha mwezi mpevu sana na ongezeko la watoto Duniani " Baby boom".
.na hii corona kweli ongezeko la watoto kuzaa watoto halikwepeki
Ni tafiti zinaonesha hivyo hakuna fumbo lolote hapo ukitaka vyanzo nitakupatia usome.Watu mna mafumbo kweli kweli.
https://www.accuweather.com › ...Itakuwa vyema zaidi.
Andaa karai na maji kama utakuwa Dar es Salaam au nenda baharini ndiyo utaona vizuri zaidi.
Hii nchi imekumbwa na matukio mengi Sana ya kipekee, nadhani hali itatulia Israel akiondoka na kiti.Inafakamika kila baada ya miaka kadhaa kutokana na njia ya mwezi angani kuna wakati mwezi kupita karibu sana na na Dunia. Hali hiyo ya mwezi kupita karibu na Dunia ndiyo inayoitwa mwezi mpevu sana ambapo mwezi huonekana kwa karibu na kwa uku wa zaidi kuliko nyakati nyingine.
Tukio hili huambatana na kupewa na kujaa kwa maji, tsunami na milipuko ya kivolkano ingawa athari hizi bado zinafanyiwa tafiti zaidi.
Hapana hili ni tukio la kidunia na siyo eneo moja tu, tayari baadhi ya Nchi walishaona supermoon ila kwa Tanzania ni tarehe niliyoiandika.Hii nchi imekumbwa na matukio mengi Sana ya kipekee, nadhani hali itatulia Israel akiondoka na kiti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alhamisi tukutane hapa kutoa shuhuda za tulichokionaNgoja nisabuskraibu kwenye huu uzi maana alhamisi sio mbali
... tabaka la dunia.Hizo athari ni kwa majibu wa Nolle mwaka 1979 na zinaonekana kutokana na mambo makubwa mawili
1.graviti ya mwezi.
2.Mvutano kati ya ganda la Dunia na mwezi.
Lakini athari hizo Nolle hakuzitolea majibu ya kisayansi.
Kweny ungezeko la watot hapo nakuelewa maan tanzania tu watot wa shule wanapat mimba kwa kasi sas huko kweny lockdown ya coron itakuwajeMwezi umekuwa ukihusisha na imani nyingi mno Duniani na hivyo tukio hili linaweza kuwa taashira kwenye masuala ya imani.
Sambamba na masuala hayo ya imani baadhi ya maandiko unahusisha mwezi mpevu sana na ongezeko la watoto Duniani " Baby boom".