Haya bby lala ukue mchumba tuu wewKula kona dogo acha kutafuta sifa na jina kupitia mgongo wangu
Sina mda mchafu wa kubisha na watu wenye stles za kutumbuliwa na anko magu
Kwaher rofa mkubwa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya bby lala ukue mchumba tuu wewKula kona dogo acha kutafuta sifa na jina kupitia mgongo wangu
Sina mda mchafu wa kubisha na watu wenye stles za kutumbuliwa na anko magu
Kwaher rofa mkubwa wewe
Kiongozi unapoteza muda na story za kutunga toka kwa huyu kijanaAaaahhh ngosha ulinusurika sana wangekudaka ungeozea jera. But nijibu maswali haya.
1.jamaa aliwakimbiza na mbwa navojua sio rahisi kumtoroka mbwa na kumuacha distance kiasi cha kujificha hadi usijulikane ulipojificha. ILikuwaje hapo?
2. Umesema makoye(ngosha)aliliamsha dude had kweny gari na kuamlisha washuke inamaana baada ya polisi kuja hawakuambiwa wapi makoye kakimbilia? Na vipi iliwachukua mda gan had police kufika baada ya kuamlisha washuke ?
Kumbe ndiyo nyie mlituteka maeneo ya Nyanguku?Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Ni tikuo kubwa sana ambalo huwa nalikumbuka had leo, nikikumbuka huwa nabaki na maswali mengi sana
Vp kama ningekamatwa?
Endapo ningekamatwa dunia ingenielewaje?
Ndugu zangu wangeficha wap sura zao?
Ningetangazwa kwenye vyombo vya habar vya radio na runinga kwa siku ngap?
Ningeenda kutubu wap zambi zangu?
Kanisa katoliki lingenielewaje? Kumbuka wakati huo nilikuwa mtumikiaji wa kanisa kwa paroko
Twende pamoja
Ilikuwa ni siku ya ijumaa saa nne na nusu za usiku nikiwa mimi na ndugu yangu mtoto wa shangaz yangu aitwaye makoye,
Tulikuwa tuna ahad ya msichana ambaye alinambia niende nikapige mamboz hivyo nilimwambia ndugu yangu anisindikize, nilifika nyumbam kwao na huyo demu nikagonga dirishana kwao, wakati nagonga dirisha alitokea mtu akiwa ma fimbo kubwa na kuanza kunifukuzu na mbwa huku akiita mwizi mwizi mwiz tulikimbia sana had barabaran ambapo tulijificha chin ya mawe ambayo yalikuwa yamekusanywa na wachina wakiwa wanajenga barabara la lami
Nilichubuka kidogo maeneo ya got kwa sababu nilianguka wakati ule nakimbia, tukiwa tuko chin ya mawe tulianza kuulizana ni nan huyo katukimbiza mi nilimwambia sijui hapa kilichopo tulud tu home ndugu yangu hii mbunye kwa leo nimeikosa
GHAFULA KICHWANI NILIPATA WAZO LA KUTEKA MAGARI nilimwambia ndugu yangu makoye tuteke magar tupate hela, fata panga home na kweli bila kusita alifata panga nyumban na fyekeo akaniacha pale chin ya mawe nikiwa nimekaa, mda kidogo alirud
tulipanga mawe barabaran makubwa na madogo
Kwa muda kama wana robo saa hiv kuna gar aina ya coster yenye abiria ilikuja, baada ya kuona mawe hayo ilipiga break na watu waliokuwemo kwenye gar walipiga kelele kwa vilio huku wengine wakisema yesu yesu yesu tuokoe na majambaz haya
Makoye aliamulisha kwa saut kubwa SHUKA WOTEEEE UPES NA HARAKA, hawakushuka kumbe mmoja alikuwa amepiga cm police mda kidogo tu tenga yaan gar la police lilifika likiwa na police waliokuwa wamejihami kwa silaha za moto aina ya SMG na AK 47
Niliogopa sana aisee, police waliogopa kushuka kwenye gar wakisubili tuanzishe mashambuliz ili wajue adui yuko upande upi ili nao wajibu walikaa kwenye gar kwa mda kama wa nusu hivi wakiwa wako tayar kwa lolote lile ndo wakashuka na kutegua yale mawe na ile gar kuweza kupita na abiria wale waliwashukuru sana police kwa kuwah eneo husika
Police walianza msako lakin hawakutuona maana tulikuwa tumejificha sana
Baadae police walisepa na sisi tukasepa ngoma ikawa droo
Ilikuwa ni huko mwanza
THIS IS TRUE STORY
LONDON BABY
Ndo hivo momy usitegemee watu wote wataunga mkono hoja wengine wanakujaga na matus bila hata kujua kilichoandikwa, wengine tu unakuta kavurugwa anataka amalizie hasira kwakoDuuh JF kiboko ukija na uzi wako hakikisha upo stable huumwi tumbo la kuhara maana kwa majibu ya humu huchelewi kujiharia.
wacha wee! MKOLOMIJEAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Ni tikuo kubwa sana ambalo huwa nalikumbuka had leo, nikikumbuka huwa nabaki na maswali mengi sana
Vp kama ningekamatwa?
Endapo ningekamatwa dunia ingenielewaje?
Ndugu zangu wangeficha wap sura zao?
Ningetangazwa kwenye vyombo vya habar vya radio na runinga kwa siku ngap?
Ningeenda kutubu wap zambi zangu?
Kanisa katoliki lingenielewaje? Kumbuka wakati huo nilikuwa mtumikiaji wa kanisa kwa paroko
Twende pamoja
Ilikuwa ni siku ya ijumaa saa nne na nusu za usiku nikiwa mimi na ndugu yangu mtoto wa shangaz yangu aitwaye makoye,
Tulikuwa tuna ahad ya msichana ambaye alinambia niende nikapige mamboz hivyo nilimwambia ndugu yangu anisindikize, nilifika nyumbam kwao na huyo demu nikagonga dirishana kwao, wakati nagonga dirisha alitokea mtu akiwa ma fimbo kubwa na kuanza kunifukuzu na mbwa huku akiita mwizi mwizi mwiz tulikimbia sana had barabaran ambapo tulijificha chin ya mawe ambayo yalikuwa yamekusanywa na wachina wakiwa wanajenga barabara la lami
Nilichubuka kidogo maeneo ya got kwa sababu nilianguka wakati ule nakimbia, tukiwa tuko chin ya mawe tulianza kuulizana ni nan huyo katukimbiza mi nilimwambia sijui hapa kilichopo tulud tu home ndugu yangu hii mbunye kwa leo nimeikosa
GHAFULA KICHWANI NILIPATA WAZO LA KUTEKA MAGARI nilimwambia ndugu yangu makoye tuteke magar tupate hela, fata panga home na kweli bila kusita alifata panga nyumban na fyekeo akaniacha pale chin ya mawe nikiwa nimekaa, mda kidogo alirud
tulipanga mawe barabaran makubwa na madogo
Kwa muda kama wana robo saa hiv kuna gar aina ya coster yenye abiria ilikuja, baada ya kuona mawe hayo ilipiga break na watu waliokuwemo kwenye gar walipiga kelele kwa vilio huku wengine wakisema yesu yesu yesu tuokoe na majambaz haya
Makoye aliamulisha kwa saut kubwa SHUKA WOTEEEE UPES NA HARAKA, hawakushuka kumbe mmoja alikuwa amepiga cm police mda kidogo tu tenga yaan gar la police lilifika likiwa na police waliokuwa wamejihami kwa silaha za moto aina ya SMG na AK 47
Niliogopa sana aisee, police waliogopa kushuka kwenye gar wakisubili tuanzishe mashambuliz ili wajue adui yuko upande upi ili nao wajibu walikaa kwenye gar kwa mda kama wa nusu hivi wakiwa wako tayar kwa lolote lile ndo wakashuka na kutegua yale mawe na ile gar kuweza kupita na abiria wale waliwashukuru sana police kwa kuwah eneo husika
Police walianza msako lakin hawakutuona maana tulikuwa tumejificha sana
Baadae police walisepa na sisi tukasepa ngoma ikawa droo
Ilikuwa ni huko mwanza
THIS IS TRUE STORY
LONDON BABY
Halafu leo tar 1 hii jose[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu sitaweza kwa leo, nitakujuza siku nyingine usijali...i hope umenielewa [emoji41] [emoji56]Halafu leo tar 1 hii jose
Ndiyo akili za CCM.Sasa hilo ndo tukio la kuitisha dunia?? Are you serious????
CCM wote ni waongo na matapeli, M/kiti wao kasema sukari mwaka 2015 ilikuwa 5000 badala ya 1800. Shame CCMTangu lini polisi wakabeba AK47? UONGO KAZI