Tukio la kuitisha dunia ambalo nilifanya nikiwa na umri mdogo wa miaka 17

Tukio la kuitisha dunia ambalo nilifanya nikiwa na umri mdogo wa miaka 17

Ulijuaje police wamebepa AK47 tena gizani? pumbavu kabisa
We jamaa njaa zako zitakuua
Hakika utapasuka kwa chuk mwaka huu

Nan kakwambia mimi ni ccm?
Kwani ukiwa ccm unakuwa si binadamu?
 
Mpuuuzi tu! Mbunye ulikosa na hela ukakosa! Naona uliamua kutisha dunia ya wasukuma wa hapo kwenye Costa jingaaaaa!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nlikua nawatetea wasukuma ila mwisho leo ama kwel msukuma alifny tishio la kuitisha dunia
 
nilivyoanza kusoma nkasema deo kisandu ameanza mambo yake ikabidi nianze kuangalia nan amepost kumbe wako wengi humu ambao network zao zinatumia mnara anaotumia kisandu
 
Ndo hivo momy usitegemee watu wote wataunga mkono hoja wengine wanakujaga na matus bila hata kujua kilichoandikwa, wengine tu unakuta kavurugwa anataka amalizie hasira kwako
Kweli kabisa. Pole kwa mashambulizi
 
Beira una matatizo yako mengi ila huwa unanifurahisha kwenye majibu yako kwa wadau
 
Back
Top Bottom