Tukio la kuitisha dunia ambalo nilifanya nikiwa na umri mdogo wa miaka 17

Duuh JF kiboko ukija na uzi wako hakikisha upo stable huumwi tumbo la kuhara maana kwa majibu ya humu huchelewi kujiharia.
 
Af ww dogo ntakunyang'anya simu yangu mbona unaitumia kupost vitu visivyoelewek.ona sasa unavyotuaibisha wasukuma
 
Kiongozi unapoteza muda na story za kutunga toka kwa huyu kijana
 
Kumbe ndiyo nyie mlituteka maeneo ya Nyanguku?
 
Duuh JF kiboko ukija na uzi wako hakikisha upo stable huumwi tumbo la kuhara maana kwa majibu ya humu huchelewi kujiharia.
Ndo hivo momy usitegemee watu wote wataunga mkono hoja wengine wanakujaga na matus bila hata kujua kilichoandikwa, wengine tu unakuta kavurugwa anataka amalizie hasira kwako
 
wacha wee! MKOLOMIJE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…