Tukio la kuitisha dunia ambalo nilifanya nikiwa na umri mdogo wa miaka 17

Tukio la kuitisha dunia ambalo nilifanya nikiwa na umri mdogo wa miaka 17

Mkuu iv wewe unazan kuteka magar na kusakwa na police wenye SMG huku ukiwa na umuri wa miaka 17 ni kitu kidogo siyo
Fix tu hizi kwanza usitufanye watoto wadogo hapa...Tafuta habari nyingine sio hii ya uongo unayotuaminisha ni True story
 
Yaan we jamaa bhana una mawazo finyu sana
mimi nikiwa na miaka 8 nilikua natumiwa na majambazi usiku wananipitisha dirishanini naenda kufungua mlango wanaingia tunapuliza dawa watu wanasinZia tunaiba pia kama madirisha yalikua magumu tulukua tuna toboa tundu ukutani kwa kutumia chemical wananipitisha naingia ndani tunafanya yetu ulizawatu wa kiloleli pasians Isamilo Kilimahewa Nyamanoro ndo mitaa tuliiiba saana ww hukuiba ila ulishikwa na hasira baada ya kukosa utamu[emoji23] [emoji23]
 
we jamaa una utoto mwingi sana...upunguze ujinga wa kuandika vitu visivyo na maana....tuliza akili....!!ata nikipigwa BAN fresh tu ila nshakufikishia ujumbe.....una utoto mwingi sana toa maziwa kwenye meno ndo uje umu!
usimlaumu labda ndio maana anajiita baby boy
 
Aisee!!! Mwenzako arusha alikuwa mtekaji na muuaji wa watoto. Wewe mtekaji wa magari. Hizo nguvu kwanini msitumie kufanya kazi za halali.
 
Back
Top Bottom