Tukio la kuitisha dunia ambalo nilifanya nikiwa na umri mdogo wa miaka 17

Wasukuma bhana, hivi ukifanya tukio mwanza ndio unakuwa umefanya tukio la kutisha dunia!?? Si ajabu kuna jamaa alitoka Iringa akaenda usukumani akawa hajui kuongea kisukuma. Sasa madogo kule wakawa wanamcheka eti jitu kubwa halijui kuongea kisukuma!? Kisa wameaminishwa kisukuma ni lugha ya taifa.
 
We jamaa toka jana nakuona unalilia mpini lengo lango hapa unataka kupigwa miti

Nyie mabwabwa huwa mna njia nyingi sana za kutafuta wanaume

Kama unajua hii ni story ya uongo unatafuta nini hapa kama siyo kupigwa miti huko kwenye kundule lako

Na utapigwa miti kwel huko kwenye kundule lako si unatafuta wanaume kwenye nyuz za watu we endelea pilau wewe
 
Fix tu hizi kwanza usitufanye watoto wadogo hapa...Tafuta habari nyingine sio hii ya uongo unayotuaminisha ni True story
We jamaa bhana kwahiyo hii unaona ni danganya toto siyo
 
Hahahaaaaaa sawa mku nimekulewa na nimekusoma ingawa umenipiga kamba za nguvu
 
Aisee!!! Mwenzako arusha alikuwa mtekaji na muuaji wa watoto. Wewe mtekaji wa magari. Hizo nguvu kwanini msitumie kufanya kazi za halali.
Hahaaaa huyo wa arusha alikuwa muuaj mimi nilikuwa mzinguaji
 
Hahahaaaaaa sawa mku nimekulewa na nimekusoma ingawa umenipiga kamba za nguvu
unadhan kuna kamba hapo beeeiiby boy true story mm nilikua natumiwa kama mfunguaji na haya madili yalikua yanachezwa na mtu wa ndani ya nyumba anawaambia mkija funguo mtazikuta sehemu, mara ya mwisho jamaa zetu walichomwa moto maeneo ya mkombozi kiloleli mm niliponea chupuchupu sababu wao walinikimbia wakaniacha mm nikapanda juu ya mwembe mmoja ule mwembe hadi leo nikienda mwanza hua naachapo 10000 maana uliokoa maisha yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…