Jamaa alitufukuza kidogo tu akatuacha kwahiyo arirud yeye pamoja na zile mbwaAaaahhh ngosha ulinusurika sana wangekudaka ungeozea jera. But nijibu maswali haya.
1.jamaa aliwakimbiza na mbwa navojua sio rahisi kumtoroka mbwa na kumuacha distance kiasi cha kujificha hadi usijulikane ulipojificha. ILikuwaje hapo?
2. Umesema makoye(ngosha)aliliamsha dude had kweny gari na kuamlisha washuke inamaana baada ya polisi kuja hawakuambiwa wapi makoye kakimbilia? Na vipi iliwachukua mda gan had police kufika baada ya kuamlisha washuke ?
Duh kwahiyo mwanza siyo dunian mkuuWasukuma bhana, hivi ukifanya tukio mwanza ndio unakuwa umefanya tukio la kutisha dunia!?? Si ajabu kuna jamaa alitoka Iringa akaenda usukumani akawa hajui kuongea kisukuma. Sasa madogo kule wakawa wanamcheka eti jitu kubwa halijui kuongea kisukuma!? Kisa wameaminishwa kisukuma ni lugha ya taifa.
Pamoja kamandaHaina shida
Itakuwa ni kweli maana zaman wez ndo walikuwa wanatumia njia hizounadhan kuna kamba hapo beeeiiby boy true story mm nilikua natumiwa kama mfunguaji na haya madili yalikua yanachezwa na mtu wa ndani ya nyumba anawaambia mkija funguo mtazikuta sehemu, mara ya mwisho jamaa zetu walichomwa moto maeneo ya mkombozi kiloleli mm niliponea chupuchupu sababu wao walinikimbia wakaniacha mm nikapanda juu ya mwembe mmoja ule mwembe hadi leo nikienda mwanza hua naachapo 10000 maana uliokoa maisha yangu
hahahahaKama ulitisha dunia kw@ mawe, north Korea na nyuklia zake atasemaje. Mirungi ya wikend huwa nishida sana
sawa ila sio wa kutisha duniaSiyo kweli mkuu huu ni ukwel