Tukio la kuitisha dunia ambalo nilifanya nikiwa na umri mdogo wa miaka 17

Tukio la kuitisha dunia ambalo nilifanya nikiwa na umri mdogo wa miaka 17

Aaaahhh ngosha ulinusurika sana wangekudaka ungeozea jera. But nijibu maswali haya.
1.jamaa aliwakimbiza na mbwa navojua sio rahisi kumtoroka mbwa na kumuacha distance kiasi cha kujificha hadi usijulikane ulipojificha. ILikuwaje hapo?
2. Umesema makoye(ngosha)aliliamsha dude had kweny gari na kuamlisha washuke inamaana baada ya polisi kuja hawakuambiwa wapi makoye kakimbilia? Na vipi iliwachukua mda gan had police kufika baada ya kuamlisha washuke ?
Jamaa alitufukuza kidogo tu akatuacha kwahiyo arirud yeye pamoja na zile mbwa

Swali lako la pili makoye aliongea saut tu lakin hakutokea kwahiyo wale watu hawakujua hata saut inatokea wap

Swali lako la tatu police walitumia mda kama wa dakika kumi na tano hiv
 
Hivi nikikutukana nitapigwa ban?.
Nakama jibu ni ndiyo kwasababu gani?.
 
Wasukuma bhana, hivi ukifanya tukio mwanza ndio unakuwa umefanya tukio la kutisha dunia!?? Si ajabu kuna jamaa alitoka Iringa akaenda usukumani akawa hajui kuongea kisukuma. Sasa madogo kule wakawa wanamcheka eti jitu kubwa halijui kuongea kisukuma!? Kisa wameaminishwa kisukuma ni lugha ya taifa.
Duh kwahiyo mwanza siyo dunian mkuu
 
unadhan kuna kamba hapo beeeiiby boy true story mm nilikua natumiwa kama mfunguaji na haya madili yalikua yanachezwa na mtu wa ndani ya nyumba anawaambia mkija funguo mtazikuta sehemu, mara ya mwisho jamaa zetu walichomwa moto maeneo ya mkombozi kiloleli mm niliponea chupuchupu sababu wao walinikimbia wakaniacha mm nikapanda juu ya mwembe mmoja ule mwembe hadi leo nikienda mwanza hua naachapo 10000 maana uliokoa maisha yangu
Itakuwa ni kweli maana zaman wez ndo walikuwa wanatumia njia hizo
 
Nmeshangaaa asee ni askari wa nchii hii hii waliwahi kwenye eneo la tukio
 
Back
Top Bottom