Tukio la kuitisha dunia ambalo nilifanya nikiwa na umri mdogo wa miaka 17

Hivi ndio vichwa ambavyo tunavyo kwenye JF ya leo.
 
Vyuo vya certificate wanafungua lini dogo urud chuo
 
Kumbe ulikuwa wewe?
 
Nilivyoona tuu avatar ya mtoa uzi sijajisumbua kusoma!

Naamini utakua umeandika upuuzi kama ilivyo ada
 
Kwan saivi una umri gan kwanza kabla hatuja value akili yako na ulichikiandika
 
Sasa hilo ndo tukio la kuitisha dunia?? Are you serious????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] ...vipi Mkuu Jose...!!

Huyo jamaa amekwambia kabla, alikuwa ni mtoto wa Kanisani, japo alikuwa na Pepo la Ngono, na kwake hili ameona ni tukio la Kuisisimua Dunia...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Labda dunia ya mtaani/kijijini kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…