Tukio la kurushiana risasi kati ya Polisi na Mtu asiejulikana: Nasubiri katuni ya Masoud Kipanya

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hili tukio limetokea katika kipindi ambacho kuna tuhuma fulani fulani kwa mtu/watu fulani hivyo nawaza mengi sana.

Teyari mitandaoni kuna madi kuwa yule mtu alieuwa alikuwa anatamka maneno fulani, maneno yanyoweza kabisa kubadili sura ya hili tukio iwapo ni ya kweli na kuna uthibitisho wa video wa maneno hayo.

All in all,.mimi namsubiri mchora katuni maarufu, bwana Kipanya aje na katuni yake kuhusu hili tukio kwani atatupa mwanga


Kwa wenye akili, Kipanya tunamtazama kama sio mchora katuni tu, bali ni kijitaasisi chenye viwango kikiwa na watu wa idara zote kuanzia wanahabari, makachero, Whistleblowers, n.k.

Naomba niishie hapa nisije kuharibu kwani kuchamba kwingi,.......

All in all, hakuna siri chini ya jua hivyo tutajua tu mbivu na mbichi.
 
Ila tumepoteza risasi nyingi sana.kuna haja ya kuongeza mafunzo ya kurenga shabaha.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika kwa uwoga sana bwashee!
 
Zile risasi vipi zipo kwenye tozo pia au
 
Kijana kaishafahamika hadi kwao, ni dogo wa 1991
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…