Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

[emoji23][emoji23][emoji23]

Hata Mimi ninajiuliza swali hilo na amesema kwamba walipo rudi porini walikuwa wakizipekua maiti na kupata madonge ya dhahabu,Sasa hizo dhahabu hazikutosha kuwatajirisha?vinginevyo hii ni hadithi ya kutunga.

Ungewahi kufanya hii biashara usingeuliza swali kama hilo...
Mimi ni Mdau wa hii biashara unaweza kutengeneza hata 600M na bd zikaisha ukatumia 300M Mia tatu nyingine ikaliwa ma shimo tena ..
Aiseeh hii kazi ni ngumu mno
 
Yaaani...Pesa bhana...watu wanakufa Kama kuku wa mdondo...alafu mnawapekua wakati hamkutakiwa kuwashika Kwasababu ya Ugonjwa.

Duuuuh

Mimi namikasa Yangu yamaisha Yangu natamani kuhadithia....siku ntakuja na ID Feki
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wakulifind wakuliget
 
Ungewahi kufanya hii biashara usingeuliza swali kama hilo...
Mimi ni Mdau wa hii biashara unaweza kutengeneza hata 600M na bd zikaisha ukatumia 300M Mia tatu nyingine ikaliwa ma shimo tena ..
Aiseeh hii kazi ni ngumu mno
Wachaaa weee[emoji13][emoji13]
 
Story ya jamaa inanikumbusha 2005/2006 Nyakahura katikati ya msitu mzito Sana na 2016 October pale msitu wa council Ushirombo Bukombe...waliowahi kaa machimboni au miji ya machimbo tunamwelewa jamaa...ingawa anaweza kuwa ametunga story yake lakini inaakisi uhalisia wa maisha ya migodini
 
Miaka 16 braza utakuwa usd za kutosha sasa..pumzika kula maisha[emoji2][emoji2]

Wala sio brother na mimi sikua mchimbaji nilianza kununua kidogo kidogo na kuwezesha wachimbaji.... Mbona mimi bd sana hata 40 sina[emoji16][emoji16][emoji16]...
Nashukuru niko mahali sijutii hii kazi kabisa pamoja na matatizo yake mengi ila imenitoa mbali na kunifikisha nisipopatarajia
 
Uliza jambo lolote kuhusu Bahari
Ukipata muda msome humo [emoji2] [emoji2]
Mkuu ndio nimemaliza kuupitia[emoji28][emoji28][emoji28]
Yule mvuvi ni tatizo, kwanza ye maswali anajibu yale tu anayoamua, halafu katika maswali 50 anaweza kujibu matatu tena juu juu au akajibu tofauti na yalivyoulizwa,
Sema ule uzi umenifurahisha sana

Asante mkuu kwa kunipa burudani
 
Dah, pole sana dada yangu kwa kukukera, tatizo nje ya hapa kuna watu nawao wananigoja, ili mipango iende.
Ila nakuhakikishia nitaimaliza.
Sawa mkuu nashukuru, hata hivyo hukuwa umenikera sema ulitusubirisha sana

Nategemea leo utakamilisha (watu wa kitaa huwa wanasema zege halilali)

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…