Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Halafu mwenye eneo anakula ganja anasubiri mgodi uteme[emoji1787][emoji1787]Wanaume kazini. View attachment 1625144
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu mwenye eneo anakula ganja anasubiri mgodi uteme[emoji1787][emoji1787]Wanaume kazini. View attachment 1625144
Anaonekana tu huyo, malume jina tu limekaa kiitikadi kiharakati kwa kifupi atakua na nyota yake tu iliyosimamaHuyo mchizi mwengine tu, anaitwa Malume (sio jina la kuzaliwa)
Tena dogo (malume) anaupepo na pesa huyo. Sema kitambo tume poteana.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Mimi ninajiuliza swali hilo na amesema kwamba walipo rudi porini walikuwa wakizipekua maiti na kupata madonge ya dhahabu,Sasa hizo dhahabu hazikutosha kuwatajirisha?vinginevyo hii ni hadithi ya kutunga.
Hebu lala, upweke unakuandama tukutane jukwaa la mkeshaWe Kaka Jamani.... Unajua saiv Ni satisa usiku... Sijalala nasubiria muendelezo...
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wakulifind wakuligetYaaani...Pesa bhana...watu wanakufa Kama kuku wa mdondo...alafu mnawapekua wakati hamkutakiwa kuwashika Kwasababu ya Ugonjwa.
Duuuuh
Mimi namikasa Yangu yamaisha Yangu natamani kuhadithia....siku ntakuja na ID Feki
Wachaaa weee[emoji13][emoji13]Ungewahi kufanya hii biashara usingeuliza swali kama hilo...
Mimi ni Mdau wa hii biashara unaweza kutengeneza hata 600M na bd zikaisha ukatumia 300M Mia tatu nyingine ikaliwa ma shimo tena ..
Aiseeh hii kazi ni ngumu mno
Wachaaa weee[emoji13][emoji13]
Sina upweke....hata kidogo Ni MATATIZO ya maisha yananifanya nitatizike..Hebu lala, upweke unakuandama tukutane jukwaa la mkesha
Nikweli kabisa....aliwazalo mjinga ndo linalomtokea.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wakulifind wakuliget
Duh hii ni babu kNairobi hawauzi Tecno moja moja. Zinapangwa kwa mafungu ya kuanzia tatu mpaka tano. Ukinunua fungu kubwa unaongezewa ka Tecno tochi
Story ya jamaa inanikumbusha 2005/2006 Nyakahura katikati ya msitu mzito Sana na 2016 October pale msitu wa council Ushirombo Bukombe...waliowahi kaa machimboni au miji ya machimbo tunamwelewa jamaa...ingawa anaweza kuwa ametunga story yake lakini inaakisi uhalisia wa maisha ya migodiniMchimbaji maisha yake anatembea na sururu ndogo tu wanaita MOKO hivyo akiambiwa ahame au Kuna machimbo mapya yanatema dhahabu wala hana cha kubeba zaid ya sururu yake na kusepa, wengi wao hawajarudi nyumban kwao kwa miaka mingi sana maisha yao yamekua ni ya kuhama hama kwenda machimbo mapya sehem anaposikia dhahabu imetema.
Mchimbaji akipata hela huwa anaitumia kwa fujo kunywa pombe, kulala na wanawake tofautitofauti wanaojiuza maeneo ambayo yako pemben na machimbo ambapo huwa wanaanzisha mji wa dharura ambapo panapatikana kila kitu, gesti za mabati,bar za mabati zenye mziki mzito kama upo town kumbe uko porini , na migahawa kwaajili ya chakula maeneo wanapo pata huduma hizo ndo hayo wao wanaita MATANDA .
Ukikuta Hawa jamaa wanakula pesa zao we waache tu wale wanazipata kwa mateso makubwa sana, mfano... Kuna maeneo ya shinyanga watu walifunikwa na udongo wakiwa ndan ya mashimo walikaa siku 42 wakiwa ndan ya ardhi lakin baadhi wengi walifariki na walipona watatu tu baada ya kuchimba kwa siku 41 ndo wakapata maiti na watu wa3 waliokua kwenye Hali mbaya Sana, wao wanasema walikua wanakula mende na baadhi ya wadudu kwa muda huo wote, lakin baadhi ya story inasemekana ilifika hatua wakaanza kula nyama za wenzao waliokufa ili wasife, nafikiri habri ya watu kufukiwa shinyanga ipo hadi YouTube..
Story za machimbo ukiambiwa unaweza kudhani ni movie au unadanganywa ila watu wanapambana sana na maisha
Tutakugundua tu.Yaaani...Pesa bhana...watu wanakufa Kama kuku wa mdondo...alafu mnawapekua wakati hamkutakiwa kuwashika Kwasababu ya Ugonjwa.
Duuuuh
Mimi namikasa Yangu yamaisha Yangu natamani kuhadithia....siku ntakuja na ID Feki
Miaka 16 braza utakuwa usd za kutosha sasa..pumzika kula maisha😃😃I've had that experience kwa miaka 16 sasa na bd naendelea
Miaka 16 braza utakuwa usd za kutosha sasa..pumzika kula maisha[emoji2][emoji2]
Mkuu ndio nimemaliza kuupitia[emoji28][emoji28][emoji28]Uliza jambo lolote kuhusu Bahari
Ukipata muda msome humo [emoji2] [emoji2]
Nililala aiseeJimena njoo huku, mzee wa mwaku mwaku karudiii[emoji1732][emoji3134][emoji4]
Sawa mkuu nashukuru, hata hivyo hukuwa umenikera sema ulitusubirisha sanaDah, pole sana dada yangu kwa kukukera, tatizo nje ya hapa kuna watu nawao wananigoja, ili mipango iende.
Ila nakuhakikishia nitaimaliza.
R I P Dogo Chiko!Huyo ni marehem Dogo Chiko.
R I P
E meu deus seu.
Asua alma vai discansar em Paz.
Amen View attachment 1625139View attachment 1625140