Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

mkuu kila la kheri angalia duara likijikopa lisilale na wewe mbele.....mambo yakiwa mabaya jifiche kwenye fonka....huko mkiwa mnashuka chini mnavaa koboko?!....na ukitaka kumsemesha mtu aliyeko duarani unamwambia "hapo chini, achama!!!!" au?!..
usisahau kupiga sample kabla hujafanya maamuzi na mwisho uwe makini na matufe ukihila ni bahati yako.....ukichumera au ukiporora ndo maisha.....ukienda maluja angalia kulia na kushoto kwanza ...

kila la kheri murah...
 
Hii lugha gani [emoji3][emoji3]
 
Asante kwa story nzuri na ya kusisimua. So hujawahi rudi Nairoto tena? Yule mmalawi hukuwahi kutana nae tena? Je ile mvua iliwahi isha na jamaa wakaendelea kupiga kazi? Vip sasa upatikananaji wa dhahabu huko Nairoto? Kuna sehem nimesoma kuna wazungu wamewekeza huko wanadai bado wanafanya utafiti wa dhahabu!!
 
Pole kwa usumbufu! Huo ndio upungufu wa kibinadamu. Waalaaa usijali!
 
Hilo jimbo si ndo Alshabab wamelitwaa? Utayaweza mazingira ya mchakamchaka na milio ya risasi mara kwa mara?
Angalia tu usije ukahisiwa wewe ni miongoni mwao wakakumaliza askari wa Msumbiji
 
Cabo Delgado huko ndio eneo la mapigano. Huko watakumaliza mkuu bora urudi tena Nairoto ukaangalie upya
 
Jamaa alivyotoroka kambini wenzake kanikumbusha nilivyotoroka jeshini usiku Wa SAA saba na nusu nikipitia maporini yenye wanyama Wa kila aina ila nashukuru Mungu alikuwa upande Wangu nilitoboa nikafika home salama Sikh ya pili yake.
huna hata haya kusimulia kutoroka jeshi jinga wewe. kwa hiyo hapo umeridhika kula ugali wa shikamoo mama
ndio nyie tunawaimbaga kwenye chenja mananga wakubwa
 
Kwa nilivyokusoma naona umeshapata migao mingi sana pesa tena pesa kubwakubwa kwanini usirudi Tz ubadili maisha
 
Story simulia ukipata mda, sio lazima mda wote ushinde JF ww sio mfanyakazi wa jf.
 
Cabo del gado si ndio kuna makundi ya kigaidi mkuu?
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…