Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
hahaha mkuu lugha ya machimboni hiyo..Hii lugha gani [emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha mkuu lugha ya machimboni hiyo..Hii lugha gani [emoji3][emoji3]
Kazi ya madini ni kama uraibu.Halafu unakua kama umechanganyikiwa na mawe.Hata ukiwa mtaani ukiona tu jiwe la ajabu ajabu lazima uliokote.Mkuu hii ni dunia nyingine.
Mara kibao nimejaribu kufanya hivyo lakini nashindwa.
Nikikaa home mwezi tu, nayamiss haya maisha.
Kuna kipindi najiuliza (hasa nikiwa kwenye hali mbaya) hivi nimezaliwa kuishi maporini?
Maana mifano naiona, wapo wazee tunachimba nao.
Mzee anakuhadithia machimbo miaka ya 1980 huko, yani hata sijazaliwa.
Kuna mzee alifuatwa na mwanae arudi home (mwanae ni mkubwa na ana pesa) mzee alikataa kata kata, mpaka yule mtoto akawaomba wazee wenzie (nao ni wachimbaji) wamshauri mzee akubali kurudi home, na mpaka sasa mzee tunae Migodini, sijui yuko poli gani.
Kwahiyo mkuu ukapiga kama million 11 ... Je vipi mkuu unamawazo ya siku 1 kuja kuachana na kazi ya uchimbaji kufanya biashara zingine au haujafikiria kuhusu hilo
Mkuu, wengine bila kufanya kazi hatuli.
Hivyo ni mjinga tu pekee atakae acha kazi yake, akae akuhadithie wewe story.
Usishangae mwenzangu mwisho wa mwezi unakinga mishahara, alafu kwa ku sign tu.
Me bila kushika sururu na chepe, sijala, wala shemeji yako havai tentemente, wajomba zako watarudishwa home kisa ada.
Kwa hiyo kua mvumilivu.
Kazi ya madini ni kama uraibu.Halafu unakua kama umechanganyikiwa na mawe.Hata ukiwa mtaani ukiona tu jiwe la ajabu ajabu lazima uliokote.
Hahahaaa siju kwanini... sema linakuwaga ni vibe tu.unaenda kulipiga sample huku unapuliza na mate puuuhhhhh unaangalia kama utaona za kuona hahahahaaa..
Mkuu kila la kheri, yote uliyoelezea yanapatikana majimboni japo kuna watu wanaona kama ni chai..Pale nilipo kaa (kuwangoja washkaji) usingizi ulinipitia nililalaa mpaka nilipo amshwa na makelele ya washkaji.
Sijui nilitumia muda gani kwenye usingizi ule ila nilipo angalia saa ilikua ni saa 6 mchana.
Nilipo amka nilikutana na kijua kikali utadhani niko Sudan, yani mpaka nguo nilizo vaa zilishaanza kunyauka.
Chakwanza niliwauliza kuhusu yule mmalawi, nikaambiwa bado wako camp wanaendelea kungoja mvua iishe waanze kazi.
Nilipo wauliza vipi kama mvua imeisha huko walikotoka, wakaniambia mvua imenyamaza sasa hivi baada ya kuvuka lile korongo.
Yani kumbe mvua inaanzia kwenye korongo kwenda matandani, ila kulimaliza korongo mvua hakuna.
Tulitembea mpaka kijijini, hakuna alie jua kua mimi nina dhahabu mbeleni.
Tuliingia kijijini saa 2 usiku, hapo tukalala.
Ila kwakua tulisha fika kijijini, kila mtu aliendelea kimpango wake.
Pale kijijini kila mtu anaham ya kujua kulikoni huko porini.
Nakumbuka nilitulia kwenye kiosk cha jamaa flani hivi, kila mtu alikua ananiuliza kuhusiana na porini.
Usiku kucha nilikesha kwenye kile kiosk cha jamaa nikila Royal gin (hii ni pombe kali sana) mpaka kuna kucha.
Kwakua nilikua na pesa ya kutosha niliyo chukua kwenye lile duka la marehem, hivyo ilikua mwendo wa kujimiminia pombe.
Kuna dem alinitamani nika lale kwake, lakini nilikataa kwa kuhofea asiniibie dhahabu yangu.
Migodini wanawake ndio wanaongoza kutuibia wachimbaji.
Kilicho fanyika nikumpa pombe mpaka dem akakimbia.
Asubuhi, sikutaka kulemba, na pombe zangu kichwani, nikakamata piki piki mpaka Montepuez.
Montepuez, hapa ndio kuna soko la madini yote.
Nikaingia kwa msirilanka nikapima dhahabu.
Dhahabu ilikua na uzito wa gram 112, kila gram kwa kipindi kile ilikua 2000 miticais sawa na laki moja shilingi kwa wakati huo.
Nikachukua 224,000 miticais, hapo akili yote inamuaza mama Abuu (Shemeji yenu)
Nakumbuka nilinunua piki piki na mazaga mengine kama nguo.
Nikatuma kama 60,000 miticais (sawa na Milioni tatu kipindi hicho) kwa mama yangu Tanzania, maisha yakaendelea.
MWISHO.
Naahidi kuwahabarishine matukio mbali mbali yanayo / yatayo tokea hapa mgodini nilipo.
Kumbuka kwa sasa naishi Tete, Muatiz, ila kwa hizi mvua zilizo anza kunyesha, nategemea kurudi Cabo del Gado wilaya ya Montepuez, nikatafute Ruby.
Hapa nangoja hii kazi iishe, nione kama nitaokoa chochote kinisogeze kwenye Ruby.
Ahsanteni na kwaherini.
Asante sana mkuuPale nilipo kaa (kuwangoja washkaji) usingizi ulinipitia nililalaa mpaka nilipo amshwa na makelele ya washkaji.

Hahahaaa siju kwanini... sema linakuwaga ni vibe tu.
Dah kumbe ilibidi hadi vichomwe moto? Inaonekana mambo yalikuwa mazito sanaHabari za asubuhi wakuu.. Naimani kila mtu yuko powa na familia yake siku ya leo na kwa mabachelor mmeamka salama. Kwa washabiki wa mpira tupeane pole maana Tunisia si level yetu, hakika walistahili kutufunga. Naendelea na stori Kama nilivyowaahidi.....
Tuliambiwa ile dawa tuoge asubuhi na usiku kabla ya kulala na kunuia maneno flani ya kumfukuzia yule kiumbe. Ile laki mbili alivyokuwa nayo dogo baba aliamua kumpa yule shekhe (sijui aliitumia au aliichoma moto kama alivyodai?[emoji1745] Vile vitu vingine shekhe alivifuata nyumbani ili akavichome Moto pia). Sasa ilipofika usiku wa ile siku mimi na mdogo wangu wote tunaogopa kwenda kulala chumbani. Hiyo ni j'tatu na chuo sikwenda kwa hofu ya lile dude kunitokea chuoni nikiwa peke yangu, pamoja na kupewa Ile dawa na kile kisomo bado nilikuwa nimejawa na hofu so nilitaka kuwa karibu na baba maana yeye ndio alikuwa anaonekana jasiri kuliko wote. Mama yeye baada ya kusimuliwa na mzee aliyosema yule shekhe alibaki kulia na kuomba tu huku akimwomba (kumlazimisha mzee atupeleke kwa Kakobe). Usiku ilipofika baba akaamua kulala na sisi chumbani, kwakweli usingizi haukuja, mapigo ya moyo yapo juu, nikimwangalia dogo nae dogo ananikodolea macho tukiwa kitandani mzee kalala chini, pembeni ya kitanda. Mida ya Kama saa saba sijui saa sita (sikumbuki muda sahihi) usingizi ukatupitia, nakuja kushtuka.....
[emoji23][emoji23][emoji23]unaenda kulipiga sample huku unapuliza na mate puuuhhhhh unaangalia kama utaona za kuona hahahahaaa..
Mkuu we bado unachimba?mambo ya uchimbaji yana addiction mbaya sana acha tu kaka..
Zipo ila siyo kila mahali, zinapatikana nyanda za juu, sababu zinatoka Afrika kusini kupitia mpaka wa Nakonde-Zambia kuingia Tunduma, ipo na nyingine inaitwa KungFu energy ni aina moja na Dragon, hizi ni moja ya biashara ya magendo sababu hazina kibali cha kuingia nchini, ila ni kinywaji pendwa kinakata sana usingizi, kina caffein ya juu kuna baadhi ya nchi kama Rwanda na Zimbambwe kilishapigwa marufuku na mamlaka za afya.. Ukikamatwa nacho kule ni kama mtu aliyekamtwa na vipondozi haramu tz.Hapa tz zpo)?
nimejistaafisha kwa lazima aisee.....naona nipumzike nifanye mambo mengine vinginevyo kazi itakuwa kuzunguka maporini tu na kuhatarisha uhai......huko tabora kupishana na koboko na usiku kuskia muungurumo wa simba dah hatariii...Mkuu we bado unachimba?
Aha yanabei gani hayo Sista? Nataka kununua
Pale nilipo kaa (kuwangoja washkaji) usingizi ulinipitia nililalaa mpaka nilipo amshwa na makelele ya washkaji.
Sijui nilitumia muda gani kwenye usingizi ule ila nilipo angalia saa ilikua ni saa 6 mchana.
Nilipo amka nilikutana na kijua kikali utadhani niko Sudan, yani mpaka nguo nilizo vaa zilishaanza kunyauka.
Chakwanza niliwauliza kuhusu yule mmalawi, nikaambiwa bado wako camp wanaendelea kungoja mvua iishe waanze kazi.
Nilipo wauliza vipi kama mvua imeisha huko walikotoka, wakaniambia mvua imenyamaza sasa hivi baada ya kuvuka lile korongo.
Yani kumbe mvua inaanzia kwenye korongo kwenda matandani, ila kulimaliza korongo mvua hakuna.
Tulitembea mpaka kijijini, hakuna alie jua kua mimi nina dhahabu mbeleni.
Tuliingia kijijini saa 2 usiku, hapo tukalala.
Ila kwakua tulisha fika kijijini, kila mtu aliendelea kimpango wake.
Pale kijijini kila mtu anaham ya kujua kulikoni huko porini.
Nakumbuka nilitulia kwenye kiosk cha jamaa flani hivi, kila mtu alikua ananiuliza kuhusiana na porini.
Usiku kucha nilikesha kwenye kile kiosk cha jamaa nikila Royal gin (hii ni pombe kali sana) mpaka kuna kucha.
Kwakua nilikua na pesa ya kutosha niliyo chukua kwenye lile duka la marehem, hivyo ilikua mwendo wa kujimiminia pombe.
Kuna dem alinitamani nika lale kwake, lakini nilikataa kwa kuhofea asiniibie dhahabu yangu.
Migodini wanawake ndio wanaongoza kutuibia wachimbaji.
Kilicho fanyika nikumpa pombe mpaka dem akakimbia.
Asubuhi, sikutaka kulemba, na pombe zangu kichwani, nikakamata piki piki mpaka Montepuez.
Montepuez, hapa ndio kuna soko la madini yote.
Nikaingia kwa msirilanka nikapima dhahabu.
Dhahabu ilikua na uzito wa gram 112, kila gram kwa kipindi kile ilikua 2000 miticais sawa na laki moja shilingi kwa wakati huo.
Nikachukua 224,000 miticais, hapo akili yote inamuaza mama Abuu (Shemeji yenu)
Nakumbuka nilinunua piki piki na mazaga mengine kama nguo.
Nikatuma kama 60,000 miticais (sawa na Milioni tatu kipindi hicho) kwa mama yangu Tanzania, maisha yakaendelea.
MWISHO.
Naahidi kuwahabarishine matukio mbali mbali yanayo / yatayo tokea hapa mgodini nilipo.
Kumbuka kwa sasa naishi Tete, Muatiz, ila kwa hizi mvua zilizo anza kunyesha, nategemea kurudi Cabo del Gado wilaya ya Montepuez, nikatafute Ruby.
Hapa nangoja hii kazi iishe, nione kama nitaokoa chochote kinisogeze kwenye Ruby.
Ahsanteni na kwaherini.
Hapo Sawa story juu ya storySawa kabisa wakati tunaendelea kusubiria mundelezo
Itakuwaje ya migodini Chugastan😁Hii lugha gani [emoji3][emoji3]