Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Kazi ya madini ni kama uraibu.Halafu unakua kama umechanganyikiwa na mawe.Hata ukiwa mtaani ukiona tu jiwe la ajabu ajabu lazima uliokote.
 
Nafikilia hilo, ila mpaka nivunje pesa ya kutosha.
Hisia zangu ni mgawo si chini ya 50,000 dollars.
Wachimbaji ni watumiaji wa hovyo (tumesha lemaa kutumia pesa) hivyo pesa ndogo, nitajikuta namaliza mwezi tu na kurudi tena porini.

Mimi mwenyewe ni mjasilia mali mzuri tu (Mocambique ili nileta biashara, nikaangukia kwenye madini) hivyo kwa mgao wa 50,000 dollars lazima nitulie.

Ngoja mvua hizi nikakomae kwenye Ruby, wenda mungu akakisikia kilio changu.
Kwahiyo mkuu ukapiga kama million 11 ... Je vipi mkuu unamawazo ya siku 1 kuja kuachana na kazi ya uchimbaji kufanya biashara zingine au haujafikiria kuhusu hilo
 

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu kila la kheri, yote uliyoelezea yanapatikana majimboni japo kuna watu wanaona kama ni chai..

Wanaume tumeumbwa mateso!
 
Asante sana mkuu

Sasa upate Ruby ili utimize matarajio na kiu yako!

Kila la heri katika hilo
 
Dah kumbe ilibidi hadi vichomwe moto? Inaonekana mambo yalikuwa mazito sana
Ila sijawahi kusikia hela zinachomwa moto nahisi huyo shehe alikula tu[emoji2]
 
Hapa tz zpo)?
Zipo ila siyo kila mahali, zinapatikana nyanda za juu, sababu zinatoka Afrika kusini kupitia mpaka wa Nakonde-Zambia kuingia Tunduma, ipo na nyingine inaitwa KungFu energy ni aina moja na Dragon, hizi ni moja ya biashara ya magendo sababu hazina kibali cha kuingia nchini, ila ni kinywaji pendwa kinakata sana usingizi, kina caffein ya juu kuna baadhi ya nchi kama Rwanda na Zimbambwe kilishapigwa marufuku na mamlaka za afya.. Ukikamatwa nacho kule ni kama mtu aliyekamtwa na vipondozi haramu tz.
 

Mzungu kaachia sasa hivi hapo kidogo naona mmeanza kurudi kwenye Ruby?! Au Ndio bd mnaenda kufanya jangili usiku ..
Palitoka ruby hapo aiseeh nashukuru nilionja pesa ya ruby ya hapo enzi za mwanzo mwanzo 2014
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…