Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Hapana mkuu unaandika vizuri kabisa!!Mwandiko wangu mbaya na Kuna koment za wasomaji ndo huwatoa watu relini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu unaandika vizuri kabisa!!Mwandiko wangu mbaya na Kuna koment za wasomaji ndo huwatoa watu relini
Kuchimba madini mkuuHuyu jamaa kaenda wapi?
Lete story mkuu. Shida moderator wanafuta nyuzi nyingi sijui ni kwangu now siwezi leta uzi humu, unaandika story ndefu then wanafuta juu kwa juuMwandiko wangu mbaya na Kuna koment za wasomaji ndo huwatoa watu relini
😂😂😂Dibajihuo ni utanguliz
Dah ..nikajua ni kaka, basi poa Sista..hiyo avatar ndo madini yenyewe? Naomba kujua moja baada ya jingine😀😀Mimi ni dada sio kaka[emoji16][emoji16]
Ntakuja nayo siku moja utaiona tuu sikuhz moderator wenyewe kwa wenyewe wanamodereteana maamuz yao humuLete story mkuu. Shida moderator wanafuta nyuzi nyingi sijui ni kwangu now siwezi leta uzi humu, unaandika story ndefu then wanafuta juu kwa juu
Mi nilimuamini Kitoabu toka day 1
Tatizo watu walikuwa wanauliza maswali ya darasani kwa mvuviMkuu ndio nimemaliza kuupitia[emoji28][emoji28][emoji28]
Yule mvuvi ni tatizo, kwanza ye maswali anajibu yale tu anayoamua, halafu katika maswali 50 anaweza kujibu matatu tena juu juu au akajibu tofauti na yalivyoulizwa,
Sema ule uzi umenifurahisha sana
Asante mkuu kwa kunipa burudani
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.maana msimuliaji wetu maneno anayotumia kujibizana na watu humu ni mengi kuliko hata anayotumia kuandika vipande vya story yake[emoji2][emoji2][emoji2]
Dah ..nikajua ni kaka, basi poa Sista..hiyo avatar ndo madini yenyewe? Naomba kujua moja baada ya jingine[emoji3][emoji3]
Kusogezea masaa mbele, muda wa siasa umeishaPipo zinapenda stori ha haaa ha
Kwa lipi?Na Mimi naomba uniamini [emoji2221]
Ndio, sema jamaa hakukata tamaaTatizo watu walikuwa wanauliza maswali ya darasani kwa mvuvi