Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujashangazwa na UKIMYA WA JK,TULIA,SLAA,RC SINGIDA,RC DSM,Nilileta mada yenye msingi huu ikatiwa kapuni ....I wish ningekuwa ni maarufu kule twitter ili mada yangu iletwe JF.
By the way nimeshangazwa na ukimya wa EL kuhusiana na tukio hili.
+TRUWAYukimya wa EL
N.B Kiwango cha kutoa taarifa kwa umma kinabidi kiboreshwe, hasahasa pale inapotokea tukio la kutikisha usalama, umoja, mshikamano wa raia na amani ya nchi. Pia kunazua maswali mengi kuwa mara baada ya tukio Polisi walichukua hatua ''ABC'' gani za kipelelezi maana hii yakuanza kutafuta mashahidi kupitia media, kwa namna hii ya utendaji yawezekana wahalifu pia watakuwa pia nao wametimka
Imani ni kitu cha hiari. Hili tukio sio zuri hata kidogo. Serikali haina mkono unaotetemeka katika kutimiza azma yake.mkuu je kma hizo mbinu zimeshindakana huoni all out attack ndio ilikuwa option iliobaki???
mleta hoja keshasema serkali imejenga hayo mazingira kwa mfano lisu aliwahi kuongelea hilo gari kuwa linamfuatilia je hatua gani ilixhukuliwa?? nape,bashe na zito pia walidai kitu hicho hicho je kma serkali haikuchukua hatua kwanni tusiamini hivo kuwa inahusika??
Nicca u nailed...Umeandika vizuri lakini sio Magufuli tu anajitengenezea mazingira mazuri ya kupikiwa lawama na wabaya wake. Vile vile victims wanakuwa wamejijengea mazingira mazuri ya kuwa target. Mfano, Unalalamika kwenye vyombo vya habari kwamba X anataka kukudhuru na huyo X anamaadui wengi ni kuwapa maadui zake idea nini cha kufanya!!