Tukio la Martha Karua kuzuiwa Uwanja wa ndege limepindua meza, sasa no reform election

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
Uwanja wa Ndege
Julius Nyerere Intl Airport
Dar es Salaam

CHADEMA YAPATA BALOZI

Ni dhahiri hatua ya serikali ya Dr. Samia Hassan kuwatimua waangalizi huru wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imepata coverage kubwa katika lugha ya English duniani kote tofauti na siku za nyuma ambapo dunia ilishindwa kuelewa hali ya kisiasa Tanzania kwa kuwa dola ilikuwa inajificha katika kichaka cha kutumia 'kiLugha' yaana Kiswahili kuficha maovu yake

View: https://m.youtube.com/watch?v=5HU2fES7Es0

Kupitia ki-English habari zimesambaa kona zote za dunia, kuhusu kesi na mazingira ya mashtaka dhidi ya Tundu Lissu pamoja na mfumo wa haki jinai unavyotumia dola kwa njia haramu kuzui mgombea wa urais kupitia chama kikuu kikubwa CHADEMA na kuwa chama cha CHADEMA nacho kimepigwa rungu la kutoruhusiwa kushiriki uchaguzi hadi 2030

Bahati hii imekuja wakati muafaka na mheshimiwa Martha Karua atakuwa msemaji asiye rasmi wa CHADEMA katika diaspora kuendelea kuipatia dunia muendelezo wa kinachijiri kesho Kisutu tarehe 19 May 2025 pamoja na hali ya kisiasa kuelekea Oktoba 2025

Senior counsel msomi Martha Karua kutokea jijini Nairobi atakuwa ni balozi wa CHADEMA kuendeleza struggle ya No Reforms No Election.

KAMA JULIUS NYERERE ALIVYOKUWA BALOZI WA VYAMA VYA UKOMBOZI, MARTHA KARUA NAYE AMEKUWA BALOZI WA CHADEMA:
Tukisoma historia na kumbukumbu za intaneti tunaona Tanzania wakati wa vuguvugu la ukombozi kusini mwa Afrika, Mwl. Nyerere, brigedia Hashim Mbita, balozi Salim Ahmed Salim n.k kwa kutaja kwa uchache walikuwa mabalozi wa vyama vya ANC, ZANU , SWAPO n.k kutetea wapigania uhuru kama Nelson Mandela, Robert Mugabe na wengine waliokuwa jela chini ya tawala za wachache Zimbabwe na zile za ubaguzi South Africa.

TOKA MAKTABA :
UBALOZI WA NYERERE KUTETEA ZIMBABWE CHINI YA UTAWALA WA WACHACHE

2015 23 Julai

View: https://m.youtube.com/watch?v=pBdbxEUF_ag
(21 Nov 1975) President Nyerere of Tanzania, flanked by Benjamin Mkapa and other Tanzanian officials is questioned at a press conference, whether an armed struggle could be avoided, in Rhodesia (Zimbabwe) ...

SALIM AHMED SALIM ALIVYOJITWISHA UBALOZI KUTETEA WAPIGANIA UHURU WA ZIMBABWE

View: https://m.youtube.com/watch?v=jhGng6DG5Nw
2015 24 Julai
(11 February 1980) Tanzanian Minister of Foreign Affairs, Salim Ahmed Salim, holds a press conference on the delevlopments in Zimbabwe Rhodesia.

Pia soma > Pre GE2025 - Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar
 
Uwanja wa Ndege
Julius Nyerere Intl Airport
Dar es Salaam

Ni dhahiri hatua ya serikali ya Dr. Samia Hassan kuwatimua waangalizi huru wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imepata coverage kubwa katika lugha ya English duniani kote tofauti na siku za nyuma ambapo dunia ilishindwa kuelewa hali ya kisiasa Tanzania kwa kuwa dola ilikuwa inajificha katika kichaka cha kutumia 'kiLugha' yaana Kiswahili kuficha maovu yake

View: https://m.youtube.com/watch?v=5HU2fES7Es0
Kupitia ki English habari zimesambaa kona zote za dunia, kuhusu kesi na mazingira ya mashtaka dhidi ya Tundu Lissu pamoja na mfumo wa haki jinai unavyotumia dola kwa njia haramu kuzui mgombea wa urais kupitia chama kikuu kikubwa CHADEMA na kuwa chama cha CHADEMA nacho kimepigwa rungu la kutoruhusiwa kushiriki uchaguzi hadi 2030

Kupitia ki English habari zimesambaa kona zote za dunia, kuhusu kesi na mazingira ya mashtaka dhidi ya Tundu Lissu pamoja na mfumo wa haki jinai unavyotumia dola kwa njia haramu kuzui mgombea wa urais kupitia chama kikuu kikubwa CHADEMA na kuwa chama cha CHADEMA nacho kimepigwa rungu la kutoruhusiwa kushiriki uchaguzi hadi 2030📌🔨
 
CHADEMA YAZAWADIWA LULU NA WATAWALA WA CCM, LEO AIRPORT DAR ES SALAAM.

Moto wa wakili msomi senior counsel Martha Karua, balozi wa hiari wa CHADEMA diaspora

Nchini Kenya, cheo cha Wakili Msomi Mwandamizi (SC) ni cha hadhi, kinachoashiria kiwango cha juu cha ujuzi wa kisheria na tajriba.

Kinatolewa na Rais wa jamhuri Kenya, baada ya pendekezo kutoka kwa Idara ya Mahakama . Ili kuwa Wakili Mwandamizi, wakili lazima awe na rekodi iliyothibitishwa ya mwenendo wa kitaaluma usio na lawama na utumishi uliotukuka wa mfano kwa utumishi wa sheria kwa umma.

View: https://m.youtube.com/shorts/fcQUH9yEJTU

In Kenya, the title of Senior Counsel (SC) is a prestigious one, signifying a high level of legal expertise and experience. It is conferred by the President of Kenya, upon recommendation from the Judiciary. To become a Senior Counsel, an advocate must have a proven record of irreproachable professional conduct and exemplary service to the legal and public service.

Explained :

View: https://m.youtube.com/watch?v=hR2cRJqTrEM
 
18 May 2025
MAKAMU WA RAIS MSTAAFU KALONZO MUSYOKA ALAANI KUTIMULIWA KWA MARTHA KARUA

View: https://m.youtube.com/watch?v=bAV7sskKzvs
Kalonzo Condemns Karua DeportationWiper Party Leader Slams Tanzania Over Karua’s DeportationKalonzo Terms Deportation A Violation Of Human Rights.

Stephen Kalonzo Musyoka is a Kenyan politician who was the tenth Vice-President of Kenya from 2008 to 2013.

1747604481142.jpeg
 
Uwanja wa Ndege
Julius Nyerere Intl Airport
Dar es Salaam

CHADEMA YAPATA BALOZI

Ni dhahiri hatua ya serikali ya Dr. Samia Hassan kuwatimua waangalizi huru wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imepata coverage kubwa katika lugha ya English duniani kote tofauti na siku za nyuma ambapo dunia ilishindwa kuelewa hali ya kisiasa Tanzania kwa kuwa dola ilikuwa inajificha katika kichaka cha kutumia 'kiLugha' yaana Kiswahili kuficha maovu yake

View: https://m.youtube.com/watch?v=5HU2fES7Es0
Kupitia ki-English habari zimesambaa kona zote za dunia, kuhusu kesi na mazingira ya mashtaka dhidi ya Tundu Lissu pamoja na mfumo wa haki jinai unavyotumia dola kwa njia haramu kuzui mgombea wa urais kupitia chama kikuu kikubwa CHADEMA na kuwa chama cha CHADEMA nacho kimepigwa rungu la kutoruhusiwa kushiriki uchaguzi hadi 2030

Bahati hii imekuja wakati muafaka na mheshimiwa Martha Karua atakuwa msemaji asiye rasmi wa CHADEMA katika diaspora kuendelea kuipatia dunia muendelezo wa kinachijiri kesho Kisutu tarehe 19 May 2025 pamoja na hali ya kisiasa kuelekea Oktoba 2025

Senior counsel msomi Martha Karua kutokea jijini Nairobi atakuwa ni balozi wa CHADEMA kuendeleza struggle ya No Reforms No Election.

KAMA JULIUS NYERERE ALIVYOKUWA BALOZI WA VYAMA VYA UKOMBOZI, MARTHA KARUA NAYE AMEKUWA BALOZI WA CHADEMA:
Tukisoma historia na kumbukumbu za intaneti tunaona Tanzania wakati wa vuguvugu la ukombozi kusini mwa Afrika, Mwl. Nyerere, brigedia Hashim Mbita, balozi Salim Ahmed Salim n.k kwa kutaja kwa uchache walikuwa mabalozi wa vyama vya ANC, ZANU , SWAPO n.k kutetea wapigania uhuru kama Nelson Mandela, Robert Mugabe na wengine waliokuwa jela chini ya tawala za wachache Zimbabwe na zile za ubaguzi South Africa.

TOKA MAKTABA :
UBALOZI WA NYERERE KUTETEA ZIMBABWE CHINI YA UTAWALA WA WACHACHE

2015 23 Julai

View: https://m.youtube.com/watch?v=pBdbxEUF_ag
(21 Nov 1975) President Nyerere of Tanzania, flanked by Benjamin Mkapa and other Tanzanian officials is questioned at a press conference, whether an armed struggle could be avoided, in Rhodesia (Zimbabwe) ...

SALIM AHMED SALIM ALIVYOJITWISHA UBALOZI KUTETEA WAPIGANIA UHURU WA ZIMBABWE

View: https://m.youtube.com/watch?v=jhGng6DG5Nw
2015 24 Julai
(11 February 1980) Tanzanian Minister of Foreign Affairs, Salim Ahmed Salim, holds a press conference on the delevlopments in Zimbabwe Rhodesia.

Acha ushamba

Kesi haina waangalizi huru

Legal system Haina siasa

Mbona umekua bwege sana we jamaa??

Hao Malaya watatu had nothing to with our legal systen
 
Waangalizi mawakili ni maofisa na marafiki wa Mahakama, wakili msomi mwandamizi Martha Karua, Bi. Gloria Kimani wa chama cha wanasheria LSK, kuwepo kwao kungeipa Mahakama heshima kuwa haki inatendeka kwa pande zote Tundu Lissu mtuhumiwa na Jamhuri aliye na ushahidi aliokusanya usio na shaka katika Mahakama ya Wazi

Open Justice: The principle of open justice allows the public to attend court hearings.Transparency: Public attendance provides a mechanism for transparency and scrutiny of the justice system.
 
18 May 2025

TANZANIA | Serikali Yamzuia Martha Karua na Kuhujumu Kesi ya Tundu Lissu..

View: https://m.youtube.com/watch?v=nBWM8gekeiw
JasusiTV, tunaripoti kwa kina kuhusu tukio la kuzuiwa kuingia
Bi. Martha Karua, Bi Lynn Ngugi na Bi Gloria Kimani walikuwa sehemu ya ujumbe wa wanasheria na wanachama wa mashirika ya kijamii walioalikwa na Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki (EALS), kwa ushirikishi wa Chama cha Mawakili Nchini Kenya (LSK) na kile cha mawakili wa Uganda (ULS)....

Ujio wao ulikuwa kwa ajili ya kufuatilia kesi ya uhaini ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu
 
Uwanja wa Ndege
Julius Nyerere Intl Airport
Dar es Salaam

CHADEMA YAPATA BALOZI

Ni dhahiri hatua ya serikali ya Dr. Samia Hassan kuwatimua waangalizi huru wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imepata coverage kubwa katika lugha ya English duniani kote tofauti na siku za nyuma ambapo dunia ilishindwa kuelewa hali ya kisiasa Tanzania kwa kuwa dola ilikuwa inajificha katika kichaka cha kutumia 'kiLugha' yaana Kiswahili kuficha maovu yake

View: https://m.youtube.com/watch?v=5HU2fES7Es0
Kupitia ki-English habari zimesambaa kona zote za dunia, kuhusu kesi na mazingira ya mashtaka dhidi ya Tundu Lissu pamoja na mfumo wa haki jinai unavyotumia dola kwa njia haramu kuzui mgombea wa urais kupitia chama kikuu kikubwa CHADEMA na kuwa chama cha CHADEMA nacho kimepigwa rungu la kutoruhusiwa kushiriki uchaguzi hadi 2030

Bahati hii imekuja wakati muafaka na mheshimiwa Martha Karua atakuwa msemaji asiye rasmi wa CHADEMA katika diaspora kuendelea kuipatia dunia muendelezo wa kinachijiri kesho Kisutu tarehe 19 May 2025 pamoja na hali ya kisiasa kuelekea Oktoba 2025

Senior counsel msomi Martha Karua kutokea jijini Nairobi atakuwa ni balozi wa CHADEMA kuendeleza struggle ya No Reforms No Election.

KAMA JULIUS NYERERE ALIVYOKUWA BALOZI WA VYAMA VYA UKOMBOZI, MARTHA KARUA NAYE AMEKUWA BALOZI WA CHADEMA:
Tukisoma historia na kumbukumbu za intaneti tunaona Tanzania wakati wa vuguvugu la ukombozi kusini mwa Afrika, Mwl. Nyerere, brigedia Hashim Mbita, balozi Salim Ahmed Salim n.k kwa kutaja kwa uchache walikuwa mabalozi wa vyama vya ANC, ZANU , SWAPO n.k kutetea wapigania uhuru kama Nelson Mandela, Robert Mugabe na wengine waliokuwa jela chini ya tawala za wachache Zimbabwe na zile za ubaguzi South Africa.

TOKA MAKTABA :
UBALOZI WA NYERERE KUTETEA ZIMBABWE CHINI YA UTAWALA WA WACHACHE

2015 23 Julai

View: https://m.youtube.com/watch?v=pBdbxEUF_ag
(21 Nov 1975) President Nyerere of Tanzania, flanked by Benjamin Mkapa and other Tanzanian officials is questioned at a press conference, whether an armed struggle could be avoided, in Rhodesia (Zimbabwe) ...

SALIM AHMED SALIM ALIVYOJITWISHA UBALOZI KUTETEA WAPIGANIA UHURU WA ZIMBABWE

View: https://m.youtube.com/watch?v=jhGng6DG5Nw
2015 24 Julai
(11 February 1980) Tanzanian Minister of Foreign Affairs, Salim Ahmed Salim, holds a press conference on the delevlopments in Zimbabwe Rhodesia.

Sawa, shangilieni basi. Si ndicho mnachotaka au? Basi serikali ipo pamoja nanyi ndo maana imewasaidia. 😆😆😆😆

Mtajua kuwa hamjui......kuongoza nchi si sawa na kuongoza hako kasaccos ka lissu na heche.
 
Imekuwa kama kutia kiberiti kwenye Petroli ya EU
 
Back
Top Bottom