Uwanja wa Ndege
Julius Nyerere Intl Airport
Dar es Salaam
CHADEMA YAPATA BALOZI
Ni dhahiri hatua ya serikali ya Dr. Samia Hassan kuwatimua waangalizi huru wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imepata coverage kubwa katika lugha ya English duniani kote tofauti na siku za nyuma ambapo dunia ilishindwa kuelewa hali ya kisiasa Tanzania kwa kuwa dola ilikuwa inajificha katika kichaka cha kutumia 'kiLugha' yaana Kiswahili kuficha maovu yake
View: https://m.youtube.com/watch?v=5HU2fES7Es0
Kupitia ki-English habari zimesambaa kona zote za dunia, kuhusu kesi na mazingira ya mashtaka dhidi ya Tundu Lissu pamoja na mfumo wa haki jinai unavyotumia dola kwa njia haramu kuzui mgombea wa urais kupitia chama kikuu kikubwa CHADEMA na kuwa chama cha CHADEMA nacho kimepigwa rungu la kutoruhusiwa kushiriki uchaguzi hadi 2030
Bahati hii imekuja wakati muafaka na mheshimiwa Martha Karua atakuwa msemaji asiye rasmi wa CHADEMA katika diaspora kuendelea kuipatia dunia muendelezo wa kinachijiri kesho Kisutu tarehe 19 May 2025 pamoja na hali ya kisiasa kuelekea Oktoba 2025
Senior counsel msomi Martha Karua kutokea jijini Nairobi atakuwa ni balozi wa CHADEMA kuendeleza struggle ya No Reforms No Election.
KAMA JULIUS NYERERE ALIVYOKUWA BALOZI WA VYAMA VYA UKOMBOZI, MARTHA KARUA NAYE AMEKUWA BALOZI WA CHADEMA:
Tukisoma historia na kumbukumbu za intaneti tunaona Tanzania wakati wa vuguvugu la ukombozi kusini mwa Afrika, Mwl. Nyerere, brigedia Hashim Mbita, balozi Salim Ahmed Salim n.k kwa kutaja kwa uchache walikuwa mabalozi wa vyama vya ANC, ZANU , SWAPO n.k kutetea wapigania uhuru kama Nelson Mandela, Robert Mugabe na wengine waliokuwa jela chini ya tawala za wachache Zimbabwe na zile za ubaguzi South Africa.
TOKA MAKTABA :
UBALOZI WA NYERERE KUTETEA ZIMBABWE CHINI YA UTAWALA WA WACHACHE
2015 23 Julai
View: https://m.youtube.com/watch?v=pBdbxEUF_ag
(21 Nov 1975) President Nyerere of Tanzania, flanked by Benjamin Mkapa and other Tanzanian officials is questioned at a press conference, whether an armed struggle could be avoided, in Rhodesia (Zimbabwe) ...
SALIM AHMED SALIM ALIVYOJITWISHA UBALOZI KUTETEA WAPIGANIA UHURU WA ZIMBABWE
View: https://m.youtube.com/watch?v=jhGng6DG5Nw
2015 24 Julai
(11 February 1980) Tanzanian Minister of Foreign Affairs, Salim Ahmed Salim, holds a press conference on the delevlopments in Zimbabwe Rhodesia.
CHADEMA YAZAWADIWA LULU NA WATAWALA WA CCM, LEO AIRPORT DAR ES SALAAM.
Moto wa wakili msomi senior counsel Martha Karua, balozi wa hiari wa CHADEMA diaspora
Nchini Kenya, cheo cha Wakili Msomi Mwandamizi (SC) ni cha hadhi, kinachoashiria kiwango cha juu cha ujuzi wa kisheria na tajriba.
Kinatolewa na Rais wa jamhuri Kenya, baada ya pendekezo kutoka kwa Idara ya Mahakama . Ili kuwa Wakili Mwandamizi, wakili lazima awe na rekodi iliyothibitishwa ya mwenendo wa kitaaluma usio na lawama na utumishi uliotukuka wa mfano kwa utumishi wa sheria kwa umma.
View: https://m.youtube.com/shorts/fcQUH9yEJTU
In Kenya, the title of Senior Counsel (SC) is a prestigious one, signifying a high level of legal expertise and experience. It is conferred by the President of Kenya, upon recommendation from the Judiciary. To become a Senior Counsel, an advocate must have a proven record of irreproachable professional conduct and exemplary service to the legal and public service.
Explained :
View: https://m.youtube.com/watch?v=hR2cRJqTrEM
KEYBOARD WARRIORS!
MNATESEKA AISEE
Wewe kweli punguanj!! Umeandika upuuzi gani huu??Acha ushamba
Kesi haina waangalizi huru
Legal system Haina siasa
Mbona umekua bwege sana we jamaa??
Hao Malaya watatu had nothing to with our legal systen
Zimetapakaa dunia nzimaKama kawaida yangu nilikuwa nasikikiza taarifa ya habari ya BBC World Service asibuhi leo nikasikia habari hii.
Tatizo wengi mnaofurahia huu upuuzi wa kukiuka haki za msingi, mmejaa ujinga hata hamjui sheria za kimataifa ambazo Tanzania imeridhia. Mnaropoka tu, na kwa ujinga wenu, mnaamini hata kuwatendea ushetani binadamu, ni sehemu ya uhuru wa nchi. Jielimisheni ili msibakie kwenye uwendawazimu kiasi cha kutia kinyaa kwa kauli zinazoashiria ushenzi wa kiwango cha juu.Naipongeza serikali yangu kuwa imara hivyo. Hao wapumbavu wanataka kuifanyia nchi yetu mazoezi ya kipumbavu. Huyo mwanamke mkenya kesi za Tanzania zinamhusu nini, aache kiherehere nchi yetu ina taratibu zake siyo km Kenya.
Uwanja wa Ndege
Julius Nyerere Intl Airport
Dar es Salaam
CHADEMA YAPATA BALOZI
Ni dhahiri hatua ya serikali ya Dr. Samia Hassan kuwatimua waangalizi huru wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imepata coverage kubwa katika lugha ya English duniani kote tofauti na siku za nyuma ambapo dunia ilishindwa kuelewa hali ya kisiasa Tanzania kwa kuwa dola ilikuwa inajificha katika kichaka cha kutumia 'kiLugha' yaana Kiswahili kuficha maovu yake
View: https://m.youtube.com/watch?v=5HU2fES7Es0
Kupitia ki-English habari zimesambaa kona zote za dunia, kuhusu kesi na mazingira ya mashtaka dhidi ya Tundu Lissu pamoja na mfumo wa haki jinai unavyotumia dola kwa njia haramu kuzui mgombea wa urais kupitia chama kikuu kikubwa CHADEMA na kuwa chama cha CHADEMA nacho kimepigwa rungu la kutoruhusiwa kushiriki uchaguzi hadi 2030
Bahati hii imekuja wakati muafaka na mheshimiwa Martha Karua atakuwa msemaji asiye rasmi wa CHADEMA katika diaspora kuendelea kuipatia dunia muendelezo wa kinachijiri kesho Kisutu tarehe 19 May 2025 pamoja na hali ya kisiasa kuelekea Oktoba 2025
Senior counsel msomi Martha Karua kutokea jijini Nairobi atakuwa ni balozi wa CHADEMA kuendeleza struggle ya No Reforms No Election.
KAMA JULIUS NYERERE ALIVYOKUWA BALOZI WA VYAMA VYA UKOMBOZI, MARTHA KARUA NAYE AMEKUWA BALOZI WA CHADEMA:
Tukisoma historia na kumbukumbu za intaneti tunaona Tanzania wakati wa vuguvugu la ukombozi kusini mwa Afrika, Mwl. Nyerere, brigedia Hashim Mbita, balozi Salim Ahmed Salim n.k kwa kutaja kwa uchache walikuwa mabalozi wa vyama vya ANC, ZANU , SWAPO n.k kutetea wapigania uhuru kama Nelson Mandela, Robert Mugabe na wengine waliokuwa jela chini ya tawala za wachache Zimbabwe na zile za ubaguzi South Africa.
TOKA MAKTABA :
UBALOZI WA NYERERE KUTETEA ZIMBABWE CHINI YA UTAWALA WA WACHACHE
2015 23 Julai
View: https://m.youtube.com/watch?v=pBdbxEUF_ag
(21 Nov 1975) President Nyerere of Tanzania, flanked by Benjamin Mkapa and other Tanzanian officials is questioned at a press conference, whether an armed struggle could be avoided, in Rhodesia (Zimbabwe) ...
SALIM AHMED SALIM ALIVYOJITWISHA UBALOZI KUTETEA WAPIGANIA UHURU WA ZIMBABWE
View: https://m.youtube.com/watch?v=jhGng6DG5Nw
2015 24 Julai
(11 February 1980) Tanzanian Minister of Foreign Affairs, Salim Ahmed Salim, holds a press conference on the delevlopments in Zimbabwe Rhodesia.
Kwa nini wamezuowa Sasa??Acha ushamba
Kesi haina waangalizi huru
Legal system Haina siasa
Mbona umekua bwege sana we jamaa??
Hao Malaya watatu had nothing to with our legal systen
Usichanganye Dini Na SiasaKEYBOARD WARRIORS!

Eti vibaraka,mapimbi nyie lazima watu wajue ujinga mnaoufanya Mama.e nyievibaraka kutoka maeneo mbalimbali duniani hawataruhusiwa kuingilia uhuru wa mambo ya ndani ya Tanzania na Taasisi zake kwa namna yoyote ile.
Tafadhali,
mkawaeleza na wanaowatuma na kuwafadhili kuhusu hili 🐒
hakuna kibaraka wa mabenyenye yeyote yale duniani ataruhisiwa kuingilia uhuru wa mambo ya ndani ya Tanazania.Eti vibaraka,mapimbi nyie lazima watu wajue ujinga mnaoufanya Mama.e nyie
Uhuru wa kuua raia wako na kubambikia watu kesi.hakuna kibaraka wa mabenyenye yeyote yale duniani ataruhisiwa kuingilia uhuru wa mambo ya ndani ya Tanazania.
It will never happen gentleman 🐒
ukifumaniwa utauawa tu na mwenye mke gentleman na ndio malipo ya tamaa zako 🐒Uhuru wa kuua raia wako na kubambikia watu kesi.