Tukio la Martha Karua kuzuiwa Uwanja wa ndege limepindua meza, sasa no reform election

Unakua na washauri kama kina Mwashamba unategemea nini? Hawakuambii ukweli wanasifia hata ukijamba
 
Naipongeza serikali yangu kuwa imara hivyo. Hao wapumbavu wanataka kuifanyia nchi yetu mazoezi ya kipumbavu. Huyo mwanamke mkenya kesi za Tanzania zinamhusu nini, aache kiherehere nchi yetu ina taratibu zake siyo km Kenya.
 
Halafu we ni mshamba kweli, eti waangalizi huru. Mahakamani? Mwehu kweli
 
Acha ushamba

Kesi haina waangalizi huru

Legal system Haina siasa

Mbona umekua bwege sana we jamaa??

Hao Malaya watatu had nothing to with our legal systen
Wewe kweli punguanj!! Umeandika upuuzi gani huu??
 
Naipongeza serikali yangu kuwa imara hivyo. Hao wapumbavu wanataka kuifanyia nchi yetu mazoezi ya kipumbavu. Huyo mwanamke mkenya kesi za Tanzania zinamhusu nini, aache kiherehere nchi yetu ina taratibu zake siyo km Kenya.
Tatizo wengi mnaofurahia huu upuuzi wa kukiuka haki za msingi, mmejaa ujinga hata hamjui sheria za kimataifa ambazo Tanzania imeridhia. Mnaropoka tu, na kwa ujinga wenu, mnaamini hata kuwatendea ushetani binadamu, ni sehemu ya uhuru wa nchi. Jielimisheni ili msibakie kwenye uwendawazimu kiasi cha kutia kinyaa kwa kauli zinazoashiria ushenzi wa kiwango cha juu.
 
vibaraka kutoka maeneo mbalimbali duniani hawataruhusiwa kuingilia uhuru wa mambo ya ndani ya Tanzania na Taasisi zake kwa namna yoyote ile.

Tafadhali,
mkawaeleza na wanaowatuma na kuwafadhili kuhusu hili ๐Ÿ’
 
Acha ushamba

Kesi haina waangalizi huru

Legal system Haina siasa

Mbona umekua bwege sana we jamaa??

Hao Malaya watatu had nothing to with our legal systen
Kwa nini wamezuowa Sasa??
Uchawa mara zote hakuna data aka facts only day illusions
 
Kwani angeruhusiwa ilikuwa akae kimya?
All in all tunahitaji amani
 
Tumshukuru mheshimiwa mtukufu rais daktari profesa mtume nabii jenerali field marshal, al hajat, ulamaa, ustaadha nk nk SSH.
 
vibaraka kutoka maeneo mbalimbali duniani hawataruhusiwa kuingilia uhuru wa mambo ya ndani ya Tanzania na Taasisi zake kwa namna yoyote ile.

Tafadhali,
mkawaeleza na wanaowatuma na kuwafadhili kuhusu hili ๐Ÿ’
Eti vibaraka,mapimbi nyie lazima watu wajue ujinga mnaoufanya Mama.e nyie
 
Eti vibaraka,mapimbi nyie lazima watu wajue ujinga mnaoufanya Mama.e nyie
hakuna kibaraka wa mabenyenye yeyote yale duniani ataruhisiwa kuingilia uhuru wa mambo ya ndani ya Tanazania.
It will never happen gentleman ๐Ÿ’
 
hakuna kibaraka wa mabenyenye yeyote yale duniani ataruhisiwa kuingilia uhuru wa mambo ya ndani ya Tanazania.
It will never happen gentleman ๐Ÿ’
Uhuru wa kuua raia wako na kubambikia watu kesi.
 
03 May 2025
Dar es Salaam, Tanzania

WAKILI KENYA AWASHANGAA MFUMO WA UCHAGUZI WA TANZANIA NA SHERIA ZA MAHAKAMA WATU KUKAMATWA​

Advocate Ongoya Zebedee Elisha - Msiamini sana Katiba na Sheria italeta haki


View: https://m.youtube.com/watch?v=Kn4RxNMzRXE
Haki za msingi za wananchi na uhuru wa waandishi wa habari ni kichoche chanya cha kuwepo uchaguzi ulio huru na wa haki, hivyo kuweka imani tu katika katiba na sheria tu haitoshi.

Advocate Ongoya Zebedee Elisha amesisitiza kuwa lazima kuwepo haki sawa kwa wale wapiga makofi kuabudu watawala waliopo madarakani yaani chawa na wale wanaopinga utawala uliopo madarakani yaani wapinzani / wanaharakati.

Kama serikali inaweza kukamata wapinzani basi serikali iweze kuwakamata chawa hapo ndipo ndipo haki itakuwa imetendeka...Advocate Ongoya Zebedee Elisha asema.

Wakili msomi Advocate Ongoya Zebedee Elisha amesema leo akitoa mada ktk kongamano la Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS Leo Mei 03, 2025 wakati wa Kongamano la Kitaifa la Wadau Kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 linalofanyika makao makuu ya chama hicho Wakili House jijini Dar es Salaam.
 
Vichwa vya habari vya magazeti nchini Kenya, Uganda leo asubuhi jumatatu tarehe 19 May 2025 Daily Nation Uganda, The Standard ... jopo la waandishi asubuhi hii jijini Nairobi ...

Morning Cafรฉ | PLP Party Leader Martha Karua arrested in Tanzania, detained and deported...​


View: https://m.youtube.com/watch?v=VEHwXbSD4zs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ