Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Duh.Atakuwa Idugunde huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh.Atakuwa Idugunde huyo
Tushasahau kama Utopolo walikua wanajambo lao leo.Leo Manara alitegemea atrend mitandaoni sema jamaa kamzima.
Itakuwa kajilaumu sanaTushasahau kama Utopolo walikua wanajambo lao leo.
Polisi walimuua baada ya muda gani, je hakukuwa na raia?Wewe kwa akili yako kama Mtu aliweza kupokonya Polisi wawili bundukina muda ule anazo zote mbili vipi angeanza kumiminia raia risasi???? Sijawahi sikia polisi sehemu yoyote duniani wanakomaa kutaka kumshika mtu akiwa hai wakati wanaweza kurisk na kusababisha maafa zaidi... Shoot to kill ipo na sababu zake Risk ikizidi benefit hakuna maana tena hiyo Network yake itashikwa tuu labda kama alikuwa hana back up.
Too much of this. Tafuteni mawazo mengine badala ya kutumia tukio kutafuta ujiko kirahisi. We all know what has happenedLeo kumetokea tukio baya sana kwa Usalama wa nchi yetu labda ni tukio baya sana kuwahi kushuhudiwa toka matukio ya enzi za Mauaji ya KIBITI yaliyolikumba nchi yetu enzi zile za Rais Magufuli sijui nini maana yake lakini Hii sio bahati mbaya.. yes sio bahati mbaya! Habari za kuuliwa polisi watatu haiwezi kuwa jambo ambalo limetokea bila mpango wala plan yoyote hasa Ukizingatia repoti inasema jamaa alikuja na BASTOLA tu then aliua mapolisi wetu na kukusanya zile Bunduki alizokuwa nazo na kuanza kushambulia askari wengine.
Na lazimika kusema kuwa Raia hawakuwa Priority kabisa ya yule jamaa maana wakati ameshapokonya silaha 2 tayari kulikuwa na Bus lenye abiria kibao na wengine wachache wakitembea kwa miguu sitaki kumuhusisha na Ugaidi wala tukio hili na Dini yake lakini hii ni Msg mbaya sana iliyotumwa kwa usalama wa nchi hii. Sasa kuna haja ya askari wetu kuwa makini zaidi hasa wanapokuwa lindo yani hii imekuwa Vita sasa yule jamaa naamini zile bunduki ilikuwa ndio plan yake but Why aliishia kuuliwa tu kwa majibizano ya risasi na polisi?
Imebaki kuwa fumbo ambalo ipo siku linaweza patikana jibu pia Akili inanituma lengo lake lilikuwa ni zile silaha lakini mpango uliopangwa baada ya kupora zile silaha uliharibika ndio maana hakuwa na namna zaidi ya kuanza kufight na polisi so its like a deal went wrong kwenye plan flani ambayo hakuna aneijua labda yeye Angekamatwa akiwa hai angeweza kusema. Lakini pia ubalozi wa ufaransa inawezekana ulikuwa moja ya target yote haya yanabaki kuwa maswali yasiyokuwa na Majibu mpaka pale uchunguzi wa kina utakapofanyika kama ule uliogundua Majambazi wa Mapango ya amboni ambapo ilianza kama movie.
Ilikuwa sahihi kuuliwa maana mtu aliekuja na bastola lakini akakusanya Bunduki 2 zenye risasi unaanzaje kuwaza kumshika bila Kumdhuru kwa risasi? Pongeza nyingi ziende kwa Jeshi letu kwa kumdhibiti yule mtu lakini Kama Sehemu salama Maeneo yale ya Ubalozi wa Ufaransa limetokea jambo baya kama lile na kudumu muda mrefu vile pamoja na usalama uliopo yale maeneo bhasi polisi wetu washtuke sana na kujipanga upya.
View attachment 1908174
Shoot to kill policy ipo lakini pia "special trained marksmen" huwa waangalia "opportunity" ya kukupata ukiwa hai ili wapate mawili matatu juu yako.Wewe kwa akili yako kama Mtu aliweza kupokonya Polisi wawili bundukina muda ule anazo zote mbili vipi angeanza kumiminia raia risasi???? Sijawahi sikia polisi sehemu yoyote duniani wanakomaa kutaka kumshika mtu akiwa hai wakati wanaweza kurisk na kusababisha maafa zaidi... Shoot to kill ipo na sababu zake Risk ikizidi benefit hakuna maana tena hiyo Network yake itashikwa tuu labda kama alikuwa hana back up.
Sanaaaaa,na ukweli umejulikana kuwa ni dhulumaSafi Sana jamaa ameonesha uanaume
Mkuu ni yakweli?
Dah inauma sana nasikia kadhulumiwa jamaa ndio mana hakuwa na mda na raia alikuwa yupo bize na mapotiSanaaaaa,na ukweli umejulikana kuwa ni dhuluma
.Mimi kwa mtazamo wangu Naina tukio hili ni la kupanga.Shoot to kill policy ipo lakini pia "special trained marksmen" huwa waangalia "opportunity" ya kukupata ukiwa hai ili wapate mawili matatu juu yako.
Ikiona mtu auawa tu ni kwamba wanashindwa kukudhibiti kwa muda fulani na kuna "standoff" inoelekea kuleta madhara zaidi itabidi wakuuwe.
Na "marksmen" huvaa uniform na pia huvaa kiraia ili kumzuga yule mbeba silaha.
Hata hivyo jamaa kauawa na hakutakuwa na muendelezo wowote wa kesi.
Tuchukulie hii kesi itakuwa closed soon.
Sidhani kama Huyu mtu hakuwa na mawasiliano na mtu yeyote kabisa... Kwa technolojia ya siku hizi vitu haviwezi kuishia hewani kama hivyoo mkuu...!! Jana tu polisi wameeenda kuwachukua ndugu zake so hii haiwezi kuishia hewani hivyoo.. Either ilipangwa au jamaa alikuwa na ugomvi wake binafsi na Polisii lazima conclusion itapatikanaShoot to kill policy ipo lakini pia "special trained marksmen" huwa waangalia "opportunity" ya kukupata ukiwa hai ili wapate mawili matatu juu yako.
Ikiona mtu auawa tu ni kwamba wanashindwa kukudhibiti kwa muda fulani na kuna "standoff" inoelekea kuleta madhara zaidi itabidi wakuuwe.
Na "marksmen" huvaa uniform na pia huvaa kiraia ili kumzuga yule mbeba silaha.
Hata hivyo jamaa kauawa na hakutakuwa na muendelezo wowote wa kesi.
Tuchukulie hii kesi itakuwa closed soon.
ila Mshana Jr unajidhalilisha sana kutuma hii picha japo kwenye post yako jana uliifuta..
Wewe kwa akili yako kama Mtu aliweza kupokonya Polisi wawili bundukina muda ule anazo zote mbili vipi angeanza kumiminia raia risasi???? Sijawahi sikia polisi sehemu yoyote duniani wanakomaa kutaka kumshika mtu akiwa hai wakati wanaweza kurisk na kusababisha maafa zaidi... Shoot to kill ipo na sababu zake Risk ikizidi benefit hakuna maana tena hiyo Network yake itashikwa tuu labda kama alikuwa hana back up.
Wewe kwa akili yako kama Mtu aliweza kupokonya Polisi wawili bundukina muda ule anazo zote mbili vipi angeanza kumiminia raia risasi???? Sijawahi sikia polisi sehemu yoyote duniani wanakomaa kutaka kumshika mtu akiwa hai wakati wanaweza kurisk na kusababisha maafa zaidi... Shoot to kill ipo na sababu zake Risk ikizidi benefit hakuna maana tena hiyo Network yake itashikwa tuu labda kama alikuwa hana back up.