Tukio la mauaji ya Polisi eneo la Selander si bahati mbaya

Polisi walimuua baada ya muda gani, je hakukuwa na raia?
 
Too much of this. Tafuteni mawazo mengine badala ya kutumia tukio kutafuta ujiko kirahisi. We all know what has happened
 
Shoot to kill policy ipo lakini pia "special trained marksmen" huwa waangalia "opportunity" ya kukupata ukiwa hai ili wapate mawili matatu juu yako.

Ikiona mtu auawa tu ni kwamba wanashindwa kukudhibiti kwa muda fulani na kuna "standoff" inoelekea kuleta madhara zaidi itabidi wakuuwe.

Na "marksmen" huvaa uniform na pia huvaa kiraia ili kumzuga yule mbeba silaha.

Hata hivyo jamaa kauawa na hakutakuwa na muendelezo wowote wa kesi.

Tuchukulie hii kesi itakuwa closed soon.
 
.Mimi kwa mtazamo wangu Naina tukio hili ni la kupanga.
 
Sidhani kama Huyu mtu hakuwa na mawasiliano na mtu yeyote kabisa... Kwa technolojia ya siku hizi vitu haviwezi kuishia hewani kama hivyoo mkuu...!! Jana tu polisi wameeenda kuwachukua ndugu zake so hii haiwezi kuishia hewani hivyoo.. Either ilipangwa au jamaa alikuwa na ugomvi wake binafsi na Polisii lazima conclusion itapatikana
 

Hamna ulichoongea. Get Maturity!
 

Sikia wewe Mwaisa, kubali au kataa nchi hii haina Contigency Plan dhidi ya state Security.

Polisi wetu wana respond to outcomes badala ya kurespond to stimulus.

Kwanza, mtu mmoja aliyekuwa na Bastola ndogo ameuwa Askari wa kutosha, mtu huyo huyo amepokonya silaha zao zote. Akatamba for more than fifteen minutes. HATA kurusha risasi ni tatizo kwao. Ni aibu ni aibu nchi hii chini ya CCM .

Polisi wote wa jiji hili walijaa lile eneo , mtu mmoja tu alijaza polisi wote wa Dar.

Mtu mmoja tu zimepotea risasi si chini ya 20: nina imagine kuwa wangekuwa 5 kama wale , nadhani tungeitaji msaada wa Jeshi la wananchi.

Hili ni TATIZO . Wenzetu wakenya walipata akili kwenye uvamizi wa ile supermarkets: wamekuwa wakijitahidi sana ku respond kwa matukio kama haya. Nadhani sisi tumejisahau, akili zipo kwenye kubambikia watu kesi za ugaidi.

Polisi wa nchi hii ni wahuni, wavuta bangi, walevi na hawajui kuishi na Raia na hawana any Intelligence mind ya kuwa aware all the time.

Inawezekana vipi nyie polisi anakuja mtu out of no where and you all relax, ni mafunzo gani hayo ya Usalama waliyopitia. Na usikute walikuwa wamelala.

Kwanza polisi aliyepitia mafunzo hawezi kuruhusu kusogelewa kwenye eneo lake to that extent na Mtu asiyemjua au kuhakiki usalama. Only in Tanzania.

Na hii should tell us kwamba hatuna usalama nchi hii, na polisi wetu ni aidha hawajui au m hawajapelekwa mafunzo ya contigency plan .

Kifupi polisi hawana ishu ni mapumbavu for as long as wanaongozwa na CCM .

Mbaya zaidi recrutement process yao ndio utashika kichwa.

Tukubali kwamba CCM haina jipya na haina pa kutupeleka. Ili nchi hii iwe na nidhamu, CCM lazima itoke vinginevyo UPUMBAVU wao hautokuja kwisha.

Tukubali kwamba nchi hii watu hawajaamua kufanya matukio, lakini wakiamua, hakika tutaumia wengi, state security ya nchi hii ni makolokolo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…