Tukio la Mkataba wa Bandari kwenda sambamba na Uteuzi wa Makonda ni Dalili za CCM kujivika kitanzi cha hiari

Tukio la Mkataba wa Bandari kwenda sambamba na Uteuzi wa Makonda ni Dalili za CCM kujivika kitanzi cha hiari

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
CCM ina watu wabovu sana kwenye kitengo cha propaganda, kufanya uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama spinning ya kuzima mjadala na fikra tunduizi kwa tukio la aibu la Mkataba wa Bandari ni timing mbovu na imekuwa miscalculated.

Falme za namna hii hizi ni nyakati za mfa maji haachi kutapatapa hata akiambiwa kunya Kisha ule mavi Yako kunusuru uhai wako atakula tu.

Yetu macho tukutane jumatatu kwenye vijiwe vyetu CCM imechoka na imeamua kujivika kitanzi cha hiari.

Itoshe sasa

Wadiz
 
IMG_4147.jpg
 
So funny, why viceversa?, Dr Samia ameelezea vizuri sana mkataba umerekebishwa hoja hasi zote HAZINA NGUVU TENA, "THE ENDSOFGAME"
 
CCM ina watu wabovu sana kwenye kitengo cha propaganda, kufanya uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama spinning ya kuzima mjadala na fikra tunduizi kwa tukio la aibu la Mkataba wa Bandari ni timing mbovu na imekuwa miscalculated.

Falme za namna hii hizi ni nyakati za mfa maji haachi kutapatapa hata akiambiwa kunya Kisha ule mavi Yako kunusuru uhai wako atakula tu.

Yetu macho tukutane jumatatu kwenye vijiwe vyetu CCM imechoka na imeamua kujivika kitanzi cha hiari.

Itoshe sasa

Wadiz

Mkuu ishu pasua kichwa ni ukimya wa kanda ya ziwa!
 
Jamaa wamemuonaje sijui, kama scapegoat ya swala hili.

Lile tukio ulikuwa ukiwaangalia wahudhuriaji hadi unawaonea huruma, wakawekewa na Mpoto awape shule 😀
Ukweli wanaujua, mbwembwe zote zile ni kuhalalisha biashara za Familia.
 
Tukisema Mungu alisha inyima kibali ccm ,huwa mnaona hatujui yajayo, sasa Bashite uyu mtesaji na aliefanya kila aina ya udhulumaji kwamba sasa ndo game changer ya ccm , OK isiowe agenda Dp world inaenda ondoka na mtu mda ni mwalim
 
Back
Top Bottom