Mzee mtu aliyekufa siyo kiloba cha mchele ni kweli bei ni $10,000-$20,000 inategemea ni wapi?Serikali haiwajibiki kulipia familia zisizoweza kulipia nauli za kurudishia maiti za ndugu zao Tanzania.
Ikifanya hivyo, bajeti za kuendesha balozi zote zitaishia kusafirisha miili ya watu kurudi Tanzania.
Kuna sehemu nyingine nauli hii ni zaidi ya $20,000.
Kwani nyie familia yenu yote mlishindwa kuchangishana kupata kiasi kilichohitajika?
Hii ndio pointtatizo jingine ubalozi umefanywa kijiwe cha wastaafu wengi hawajui wajibu wao ni nini
Labda mngemuomba balozi atoe pesa mfukoni mwake.Huyu Mtanzania alikuwa safarini peke yake, Ethiopia haikuwa destination yake , alishushwa kwa dharura ya kuumwa ghafla na umauti ukamfika huko.Sisi hatuna familia wala jamaa kule.
Kama balozi yupo ,unadhani nanai awajibike kutowa msaada?
kama hawalipi gharama zote , hata kuchangia sehemu ya Gharama ubalozi hauwezi ?
Marekani karibu kila mwezi naona michango ya rambirambi watu wanachangishana kurudisha maiti nyumbani.Duuh ,sehem gan iyo naur inazd na bei ya kununua na kuisafilisha vanguard
Watanzania wangapi wanafariki nje ya nchi?Huyu Mtanzania alikuwa safarini peke yake, Ethiopia haikuwa destination yake , alishushwa kwa dharura ya kuumwa ghafla na umauti ukamfika huko.Sisi hatuna familia wala jamaa kule.
Kama balozi yupo ,unadhani nanai awajibike kutowa msaada?
kama hawalipi gharama zote , hata kuchangia sehemu ya Gharama ubalozi hauwezi ?
Inasikitisha sana mkuu..Wengi watashangazwa na na mada ya hapo juu.
Taratibu fuatilia
Tare 21/04/2021 siku ya juma tano, Dada yangu Fatma Said alifariki dunia Nchini Ethiopia akitokea Dubai kuja Zanzibar (Tanzania).
Akiwa ndani ya ndege ' Fly Dubai' aliumwa ghafla na kuilazimisha ndege hiyo kutua kwa dharura nchini Ethiopia ikiwa nio kiwanja cha karibu kwa walipokuwa.
Tukio hili la kumshusha pale ni sehemu ya taibu za ndege inapotiokea dharura. Mgonwa alipelekwa Hospitali na Kufarikiduni muda mchache baada ya kufika hospitali.
Yamkini serikali ya Ethiopia iliarifu ofisi ya Kibalozi ya TANZANIA kwa hatua stahiki.
Wana familia nao tulipopata habari tuliwasiliana na Balozi ili kujua hatua gani zifanywe ili Mwili wa marehemu urejeshwe Nyumbani kwa mazishi. Balozi wa Tanzania alianza kutudanganya na kutupiga danadana eti akidai kuwa hana FUND za kugharamia matukio ya aina hii.
Hatimae ilitubidi wanafamilia tulipishwe Gharama za Hospitali, Kusafirisha mwili na kila kilichohusu kusafirishwa kwa mwili husika.
Mwili ulifika jana tarehe 27/04/2021 kwa ndege ya Cargo ya Ethiopia Air Line
Nilianza kujiuliza NINI FAIDA YA KUWA NA BALOZI NCHINI ETHIOPIA? Lakini mara nikakumbuka kuwa kama Zanzibar ingelikuwa na Ubalozi wake kule tungelipata matokeo tofauti?
Ilishawahi kutokea wanafunzi wa Tanzania walioko nje nchi fulani(siitaji) walipungukiwa na Masurufu ya matumizi, Wale wa Zanzibar wakatumiwa na SMZ fedha za kujikimu na wale wa Bara wakalazimika kurudi au familia zao kutuma fedha.
Nimeyasema haya nikiwa na Uchungu mkubwa wa kuona kuwa MUUNGANO WETU umekuwa kikwazo kwa raia wa Zanzibar .HILI NALO NI MOJA YA CHANGAMOTO ZA MUUNGANO kwenye mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. We are not treted equaly.
Namuoba Waziri wa mambo ya nje Ahusike na tukio hili la Ethiopia kwani Ubalozi wa TZ haukusaidia lolote kifedha katika jambo hi la Marehemu.
Isije ikatumwa Invoice ya kuonesha kuwa Ubalozi ulitumia fedha,itakuwa ni Upigaji wa fedha za serikali.
Nawakilisha.
Miaka ya nyuma sana alifariki mtoto wa general wa jeshi hapa SA ubalozi ulitoa hela na vitu vyote baada ya kujua ni mtoto wa Mkuu na mambo mengi walisimamia wao...Hiyo ya travel documents ni issue nyingine balozi inawajibika.
Lakini kwenye kusafirisha miili balozi haiwajibiki. Familia iwajibike.
Kuna siku nilienda ubalozi wa Marekani, wakati haujapigwa bomu bado.Kunq vitu vilitumwa kimakosa ubalozi wa Nairobi nilikuwa naangalia kama wanaweza kuvi forward Dar.
Mbele pale kwenye mlango waliweka bango kubwa kwa raia wa Marekani wanaomaliza hela za matumizi na kwenda ubalozini kuomba hela.
Bango hilo lilisema wazi kwamba ubalozini si sehemu ya kwenda kuomba hela watu walioishiwa na hela nje ya nchi.
Inaonekana walikuwa wanapata Wamarekani wa aina hiyo wengi sana Tanzania mpaka ikawabidi waweke bango hilo mbele kabisa, kama Mmarekani ana shida hiyo asijisumbue hata kuendelea kuingia ndani.
Si kwamba ubalozi ulishindwa kuwa na akaunti ya kusaidia watu wanaomaliza hela wakiwa nje.
Ni suala la personal responsibility.
Watu wanatakiwa kubeba mizigo yao wenyewe, sio kuitwika serikali mizigo hiyo.
Kuna watu wanasafiri kwenda nje wananunua mpaka yravelers insurancd ku cover contingency planning wakiumwa au wakifa nchi za nje.
Tuqche hizi tqbia za kutaka swrikali itatue kila tatizo.
Tanzania ni nchinyenye watu wengi sana, wote hawa wakiitegemea swrikali hatutafanya kitu chochote cha kueleweka tutaishia serikali kulisha watu tu mpaka inafilisika.
Tusipende kulalamikia serikali hata kwenye kumzika ndugu.
Ni uzembe wa viongozi wa nchi kwani tatizo hilo lingetakiwa kuchukuliwa na serikali na kusafirisha maiti huyo ni raia wa nchi kama amepata tatizo la kutojitakia, nchi inatakiwa kuhakikisha inalishughulikia, Hili sio Tatizo la muungano ni Tatizo la watu wote hivyo tuitake serikali kutengeneza sheria na ziwekwe wazi na namna watu wanaweza kufuatilia watu wanapopata matatizo nje ya nchiWengi watashangazwa na na mada ya hapo juu.
Taratibu fuatilia
Tare 21/04/2021 siku ya juma tano, Dada yangu Fatma Said alifariki dunia Nchini Ethiopia akitokea Dubai kuja Zanzibar (Tanzania).
Akiwa ndani ya ndege ' Fly Dubai' aliumwa ghafla na kuilazimisha ndege hiyo kutua kwa dharura nchini Ethiopia ikiwa nio kiwanja cha karibu kwa walipokuwa.
Tukio hili la kumshusha pale ni sehemu ya taibu za ndege inapotiokea dharura. Mgonwa alipelekwa Hospitali na Kufarikiduni muda mchache baada ya kufika hospitali.
Yamkini serikali ya Ethiopia iliarifu ofisi ya Kibalozi ya TANZANIA kwa hatua stahiki.
Wana familia nao tulipopata habari tuliwasiliana na Balozi ili kujua hatua gani zifanywe ili Mwili wa marehemu urejeshwe Nyumbani kwa mazishi. Balozi wa Tanzania alianza kutudanganya na kutupiga danadana eti akidai kuwa hana FUND za kugharamia matukio ya aina hii.
Hatimae ilitubidi wanafamilia tulipishwe Gharama za Hospitali, Kusafirisha mwili na kila kilichohusu kusafirishwa kwa mwili husika.
Mwili ulifika jana tarehe 27/04/2021 kwa ndege ya Cargo ya Ethiopia Air Line
Nilianza kujiuliza NINI FAIDA YA KUWA NA BALOZI NCHINI ETHIOPIA? Lakini mara nikakumbuka kuwa kama Zanzibar ingelikuwa na Ubalozi wake kule tungelipata matokeo tofauti?
Ilishawahi kutokea wanafunzi wa Tanzania walioko nje nchi fulani(siitaji) walipungukiwa na Masurufu ya matumizi, Wale wa Zanzibar wakatumiwa na SMZ fedha za kujikimu na wale wa Bara wakalazimika kurudi au familia zao kutuma fedha.
Nimeyasema haya nikiwa na Uchungu mkubwa wa kuona kuwa MUUNGANO WETU umekuwa kikwazo kwa raia wa Zanzibar .HILI NALO NI MOJA YA CHANGAMOTO ZA MUUNGANO kwenye mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. We are not treted equaly.
Namuoba Waziri wa mambo ya nje Ahusike na tukio hili la Ethiopia kwani Ubalozi wa TZ haukusaidia lolote kifedha katika jambo hi la Marehemu.
Isije ikatumwa Invoice ya kuonesha kuwa Ubalozi ulitumia fedha,itakuwa ni Upigaji wa fedha za serikali.
Nawakilisha.
(PAKA ) alituma CHOPPER ya jeshi kuchukua raia wake majeruhi wa na maiti t AMBASSODOR CHOIR OF CHRIST Ya Rwanda.Mwaka jana Nchiya Oman Illeta Ndege Kuchukua raia wake wote waliokwama kwa sababu ya Corona na kuwarudisha Oman Free of charge.
Hii ndio kujali kwa nchi na raia wake.
Ni vitu ambavyo vinawezekana sema kwa Nchi zetu ikiwepo hela ya dharula wahusika hawataweza kupata kutokana na ubinafsi uliokuwepo...Nimeangalia Whatsapp group moja hapa kuna mtoto anahitaji 16,000 kupata matibabu India.
Huyo naye ndugu zake waidai serikali?
Kuna Mtanzania kafariki April 8 kwa seizure, huyo naye familia yake isaidiwe na serikali?
Kuna mtu mwingine kafariki watu wamechanga $9,000 kuwezesha mwili kurudishwa nyumbani. Kaja Marekani mwaka mmoja tu uliopita.
Hawa watu ni wengi sana.
Balozo zikilipia nauli za kurudisha miili wote hawa zitajiendesha vipi?
Mwaka jana Nchiya Oman Illeta Ndege Kuchukua raia wake wote waliokwama kwa sababu ya Corona na kuwarudisha Oman Free of charge.
Hii ndio kujali kwa nchi na raia wake.
Vinawezekana vipi bila kuwa na hela? Hizi ni dalili ya kuwa na DNA ya kufanya mazingaombweNi vitu ambavyo vinawezekana sema kwa Nchi zetu ikiwepo hela ya dharula wahusika hawataweza kupata kutokana na ubinafsi uliokuwepo...
Ilishawahi kutokea wanafunzi wa Tanzania walioko nje nchi fulani(siitaji) walipungukiwa na Masurufu ya matumizi, Wale wa Zanzibar wakatumiwa na SMZ fedha za kujikimu na wale wa Bara wakalazimika kurudi au familia zao kutuma fedha.
Kabla Muungano Zanzibar ilikua ina uwezo kuliko Oman Muungano umekuja kusimamisha Au kuua kabisa maendeleo ya ZanzibarSasa unalazimisha kwamba Tanzania ina uwezo sawa na Oman?
USA tunawachangia watu kila mwezi nauli ndizo hizo.Mzee mtu aliyekufa siyo kiloba cha mchele ni kweli bei ni $10,000-$20,000 inategemea ni wapi?
Umefiwa na una uchungu lakini isikufanye uanze kukamata wenye makosa. Nijuavyo mimi hiyo ilikuwa ni taratibu za shirika la ndege liliomshusha njiani. Shirika la ndege lina dhamana ya kumsafirisha abiria hadi mwisho wa safari yake. Njiani chakula na kila kitu ni juu yao. Yawezekana mauti ukatokana na huduma yao mbovu; Chakula, maji, hewa, nk. Ndo maana ukiwa mgonjwa lazima shirika litaarifiwe ili waweze kuona kama unastahili kusafirishwa kwa ndege yao. Hata mjamzito lazima athibitishe uwezo wake wa kusafiri.Wengi watashangazwa na na mada ya hapo juu.