Vipo vingi mkuu
hivi kweli kuwa hii inshu imevamiwa na wanasiasa kiasi cha CC ya CCM kuanza kuijadili kabla ya kukabidhiwa rasmi?Bunge la Katiba lina uwezo wa kubadili kila kitu kwenye rasimu(DRAFT) constitutional.
Eeeh we si unaona sudan wanauwa kwa ajili ya urais
Jk ajampa mkono dk salim wakuu
Warioba pia anamrehemu McungiWarioba ameanza kwa kuwataja waheshimiwa
Kaka Urais ni raha eti mtu anakaa pembeni ya mlango wa gari ya Rais ili mtu akipiga risasi impate yeye na sio rais
thibitisha
Kwani kukenua meno si kuwa serious?Hivi huyu raisi wakati wote anakenua meno wakati wenzake wako serious.
Wewe mchoyo. Au kitufe cha Like hukioni?
Mkapa hayupo hapa kumbe?
Ukiwa raisi zuzu unaweza kujuwa hamna kufa mkuu
hawa ni wale wasikilizao midomo ya watu na wala si wataftaji wa habari
CHADEMA wanapinga Serikali tatu????? Jaribu kufuatilia vizuri nadhani huna taarifa sahihi
Da lakini huu uraisi wa bongo unaonekana mgumu sana mbona VASCO amechakaa sana.