Watioba mzee wetu utakumbukwa kaza.
Tanganyika yetu irudi sasa
bunge la katiba litamuumbua warioba na watu wake hapa hakuna serikali tatu, wananchi tunataka serikali mbili,hatuko tayari kubeba gharama za viongozi kila kukicha.
Huyu mzee Waryoba anajiamini sana, hata anavyoongea na rais unaona kabisa hababaiki
Wameshaanza kununa! Naona hata Raisi amechoka. Sijui kwa nini?
Naona Warioba anafafanua mazingira na sababu za msingi kuitetea kuwepo Muungano wa Serikali Tatu.
Wameshaanza kununa! Naona hata Raisi amechoka. Sijui kwa nini?
Naona Warioba anafafanua mazingira na sababu za msingi kuitetea kuwepo Muungano wa Serikali Tatu.
acha chuki zako kwa mzee makini warioba joseph sindeBunge la Katiba litamuumbua Warioba na watu wake hapa hakuna serikali tatu, Wananchi tunataka serikali mbili,hatuko tayari kubeba gharama za viongozi kila kukicha.
Bunge la Katiba litamuumbua Warioba na watu wake hapa hakuna serikali tatu, Wananchi tunataka serikali mbili,hatuko tayari kubeba gharama za viongozi kila kukicha.
Uso wa kikwete unasomekaje?