Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Baadhi ya mambo yaliyoongezwa kinyemela kwenye makubaliano ya muungano yaondolewe.
 
Warioba is a good man. Thrice nimesikia anasema wazanzibari wanataka muungano wa mkataba ambao ni tofauti na muungano wa serikali tatu.
 
bunge la katiba litamuumbua warioba na watu wake hapa hakuna serikali tatu, wananchi tunataka serikali mbili,hatuko tayari kubeba gharama za viongozi kila kukicha.

mnataka na nani? Umeambiwa 60% wanataka 3 govts.
 
Hitaji la watanzania si serikali 4 au 5. Wananchi wanahitaji amani, haki na usawa. serikali itakayokomesha ufisadi, dhuluma,udini, ukabila na matabaka ndio hasa wanayohitaji watu wa nchi hii hata kama itakuwa ni serikali moja.
 
Kabla Warioba hajataja rasmi kua Serikali iwe ya Namna gani naona imembidi kutoa Maelezo marefu kwa Kina kwanza,Suala la Muungano si Mchezo hata kidogo.
 
Wameshaanza kununa! Naona hata Raisi amechoka. Sijui kwa nini?
Naona Warioba anafafanua mazingira na sababu za msingi kuitetea kuwepo Muungano wa Serikali Tatu.

Hapo ni serekali tatu warioba anawazungusha akitamka wasipaniki
 
Wameshaanza kununa! Naona hata Raisi amechoka. Sijui kwa nini?
Naona Warioba anafafanua mazingira na sababu za msingi kuitetea kuwepo Muungano wa Serikali Tatu.

watu wananuna hapo,maana matakwa yao yamepotea
 
Bunge la Katiba litamuumbua Warioba na watu wake hapa hakuna serikali tatu, Wananchi tunataka serikali mbili,hatuko tayari kubeba gharama za viongozi kila kukicha.
acha chuki zako kwa mzee makini warioba joseph sinde
 
Zanzibar ruksa kujiunga fifa na oic,lakini mambo ya nje yanabaki ya muungano.
 
Bunge la Katiba litamuumbua Warioba na watu wake hapa hakuna serikali tatu, Wananchi tunataka serikali mbili,hatuko tayari kubeba gharama za viongozi kila kukicha.

Tunataka serikali tatu bana
 
weka picha kiongozi

avatar33093_11.gif
 
Back
Top Bottom