Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Kila nchi iwe na hathi ya uhuru ndio maana tumependekeza serekali tatu warioba
 
Mwishowe Warioba Ataja rasimi Serikali tatu. ila Uraia uwe Mmoja kupambana na Changamoto.
 
JAJI WARIOBA ANAWAKILISHA RASIMU YA KATIBA MPYA
-Madaraka ya Rais yamepunguzwa.
-wabunge wasiwe mawaziri
-kuwe na ukomo wa wabunge
-wananchi wawajibishe wabunge
-spika/naibu wasiwe wabunge wala viongozi wa juu wa vyama vya siasa.

-kuwepo na jeshi moja la Polisi na Usalama wa Taifa.

MUUNGANO
39000 walitoa maoni kuhusu muungano Tanzania Bara,na karibu wote wa Zanzibar walitoa maoni kuhusu muungano

-Taasisi nyingi zilipendekeza serikali tatu.

Malalamiko upande wa zanzibar
Serikali ya Tanganyika imevaa koti la Tanzania
-mambo ya muungano yamekuwa yakiongezeka
-kumuondoa rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa Rais

Malalamiko Tanzania Bara.
-Zanzibar imebadili katiba yake na kuchukua madaraka ya Jamuhuri ya Muungano
-Wananchi wa Tanzania Bara kutokuwa na haki ya kumiliki ardhi Zanzibar

Source: Mwananchi FB
 
hatimae WARIOBA kwa atamka serikali tatu...magamba kwisha habari yao...

Check jinsi ambavyo Kikwete alivyokunja sura, manake Warioba kau kabisa! Ila sidhani kama hili litapita kwenye Bunge la Katiba, manake mkuu, JK alisubiri Rasimu ya Pili ili aanze kuchagua watu wake wa kupiga chapua ili kuisaidia CCM! Balaa
 
Tume pia imependekeza kuwe na kodi ya mungano
 
Ushuru wa Bidhaa iwe Mapato ya Muungano kupambana na Changamoto za gharama za uendeshaji Serikali.
 
Ni wakati huu akimsikiliza mh jaji Warioba akitoa maelezo ya taarifa ya maoni ya tume ya katiba mpya naona kakunja uso wake kwelikweli.
 
Siogopi vitisho vya mtu asiye na sitaha wala kuheshimu watu kwani mtu akiwa mwanamke ndiyo ana upungufu upi? Kama unaweza kupambana jitambulishe na si kujificha katika pazia la Wa Kusoma. Mie jina langu ni kamlili na siwezi kumuheshimu ambaye anao wenzake kuwa ni dhalili eti kutokana na jinsia yao.

Kuna kitu unakitafuta we msukule si bure niache kabla sijakuhamisha jukwaa
 
Sio kosa lako ni tatizo la kumeza kila jambo bila kuchuja,tatizo la kunywa gongo halafu unakwenda kukaa posta.
Gongo umeona fursa sembuse hili.

watu mnaolala na wazaz wenu hadi mnamaliza form IV mna shida sana,unaanzaje kumtukana mtu usomjua,,,,???daah.
 
Back
Top Bottom