chuki
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,715
- 534
kukiwa na serikali 3,fursa za ajira zitaongezeka
Sio kosa lako ni tatizo la kumeza kila jambo bila kuchuja,tatizo la kunywa gongo halafu unakwenda kukaa posta.
Gongo umeona fursa sembuse hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kukiwa na serikali 3,fursa za ajira zitaongezeka
mnataka na nani? Umeambiwa 60% wanataka 3 govts.
hatimae WARIOBA kwa atamka serikali tatu...magamba kwisha habari yao...
Umejuaje kama kasononeka?Kwa nini rais amesononeka wakati hagombei tena?
Siogopi vitisho vya mtu asiye na sitaha wala kuheshimu watu kwani mtu akiwa mwanamke ndiyo ana upungufu upi? Kama unaweza kupambana jitambulishe na si kujificha katika pazia la Wa Kusoma. Mie jina langu ni kamlili na siwezi kumuheshimu ambaye anao wenzake kuwa ni dhalili eti kutokana na jinsia yao.
Warioba kamgeuka full mawazo mkuuUmejuaje kama kasononeka?
Sio kosa lako ni tatizo la kumeza kila jambo bila kuchuja,tatizo la kunywa gongo halafu unakwenda kukaa posta.
Gongo umeona fursa sembuse hili.
Serikali Tatu, Uraia Mmoja? Hapo itakuwaje?