Teheheeeeeee, hata mm nina wasiwasi aise ilitakiwa mzigo usambazwe kwa kila mtu faster
Serikali Tatu, Uraia Mmoja? Hapo itakuwaje?
Naona mtangazaji naye anashangaa uwepo wa zzk!!!kweli usaliti mbaya aiseeee!!!!
Mkuu, usishangilie sana. Hii ni sawa na kupewa mahindi mabichi utafune wakati hauna meno. Serikali tatu, uraia mmoja, rais mmoja, jeshi moja, polisi moja na usalama wa taifa mmoja. Umeona changamoto iliyo mbeleni?