Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Sasa hivi kuna Serikali 2, Uraia ushajiuliza, acheni Upoyoyo na Ubweg.e Mtonzeni
Mkuu, kwa muda mrefu wazanzibari walikuwa wanadai passport ya zanzibar, uraia wa zanzibar na sarafu ya zanzibar. Tatizo bado halijaisha
 
Mbona sijaona hii rasmu ikitoa mchanganuo juu ya namna ya mgawanyo wa raslimali za taifa na muungano, kama vle gas, madini, mafuta, nk.

rasimu hajaisoma mzee warioba,rasimu itagawiwa,pale amesoma ripot
 
Pemba yao unguja yao daresalaam yao bukoba yao dodoma yao ikulu yao
 
Naona kubwa limeongelewa la muungano, ina Maana utajiri Wa nchi ya tanganyika utajadiliwa Katiba ya tanganyika? Basi maisha mazuri kuletwa Na Katiba Bado sana
 
CCM haiwezi kuanguka chali isiwpokuwa CDM ndiyo chali, kwani yote waliyokuwa wakiyadai ovyo ovyo yalitupiliwa mbali baada ya wao kwenda wenyewe CDM kunywa "chai" Ikulu.
 
Mbona mnakulupuka subirini bunge la katiba hapo ni serikali mbili tu
 
Mkuu, hata sisi tuna serikali zaidi ya Ishirini. Hizi tatu za nini tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…