Manyi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 3,253
- 605
kumbe @MM yupo...
Ha ha haaa, mkuu nasikia kaingia na Mbowe! Teh teh teh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe @MM yupo...
Mkuu, kwa muda mrefu wazanzibari walikuwa wanadai passport ya zanzibar, uraia wa zanzibar na sarafu ya zanzibar. Tatizo bado halijaishaSasa hivi kuna Serikali 2, Uraia ushajiuliza, acheni Upoyoyo na Ubweg.e Mtonzeni
Watz tuna imani na kikwete na tume
Mbona sijaona hii rasmu ikitoa mchanganuo juu ya namna ya mgawanyo wa raslimali za taifa na muungano, kama vle gas, madini, mafuta, nk.
Tunaimani na Tume na siyo Kikwete...Watz tuna imani na kikwete na tume
Kuna kitu unakitafuta we msukule si bure niache kabla sijakuhamisha jukwaa
ndo maanake,utabaki kuwa raia wa Tanzania...hapa kuna mtu kacheza pele.kwa vile wote tutabaki kua chini ya tanzania..regardless ya uzanzibar na utanganyika...
Naona Zitto kaishika Rasimu na Anatabasamu,Bila shaka kipengele cha Umri wa Raisi miaka 35 Kimepita.
Kwann Dr Shein hajasema pia "bwana Yesu asifiwe?"
Mkuu, hata sisi tuna serikali zaidi ya Ishirini. Hizi tatu za nini tena?Changamoto gani wewe!!!... Usichanganye masuala ya utawala na mamlaka ya nchi!! Afrika kusini wana Serikali tisa na mabunge tisa ya majimbo na wanaunganishwa na Serikali moja ya Shirikisho... Hata hapa Tanzania tuna Serikali mbili lakini ukiangalia kuna Serikali za Mitaa na Mabaraza ya Madiwani, wanapitisha Sheria ndogondogo na kutoza kodi!!.. Kilichofanyika ni kuipunguzia Serikali ya Muungano mambo ambayo si ya Muungano that's why kuna umuhimu wa Tanganyika iwepo isimamie mambo yake ya maji, umeme, barabara, afya na miundombinu... Kuna haja gani Wabunge wa Zanzibar waje kujadili Bajeti ya Wizara ya Maji, ujenzi, Afya na nyingine zisizokuwa za Muungano... Nasema iko poa...