Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

mimi nimesikitika kuwa hawa wabunge wetu kina mnyika,msigwa,sugu,lema hawawezi kuwa mawaziri tena hata kama cdm watakamata madaraka.

usihofu mkuu!
Ni bora tukawa na mawaziri wasiofungana na chama chochote kuliko ilivyo sasa!
 
Apongezwe JK. Waliokuwa wanamtukana wanajitukana wenyewe

Pamoja na kumpongeza JK kwa kutokuziba masikio... Ila pongezi zaidi ni kwa wale waliokuwa na ujasiri wa kudai bila kuchoka pamoja na kubezwa lakini waliweza kusimama imara hatimaye watawala wakaona ukweli na umuhimu wa Katiba mpya.. So bila watu kudai JK pamoja na CCM yake hawakuwa na mpango wa Katiba mpya pamoja na mfumo uliopo kushindwa kutufikisha popote kwa miaka 50 iliyopita..
 
Kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
1. S. Africa
2. Kenya
3. Zanzibar
4. Uganda
5. Gambia
6. Nigeria
7. India nk.
Lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na Serikali zao. Kwa nini isiwe Tanzania?
 
Jk ni bonge la rais watanzania wengine wanajivunia kuwa na rais kama jk.
 
Mkuu wa Kaya kasema Rasimu iwekwe kwenye Mitandao ili isichakachuliwe kwenye Gazeti la Serikali na jamii ione.
 
Badili rangi ya maandishi yako ndipo nisome umeandika nini
 

Aliyoyazungumza jaji WARYOBA ni machache kati ya mengi yaliyomo kwenye rasimu ya katiba mpya!
Jaribu kwanza kupata nakala yake then tuendelee na mjadala.
 
Wale kazi yao ni kukimbizana na zitto na kuchakachua katiba ya chama chao ili wawe ni viongozi wa kudumu kwenye chama chao.
 

Ningeshangaa huu uzi upite hivi hiv bila hii kitu....
 
anajua chama chake kinakwenda kuzikwa rasmi 2015.
RASIMU YA PILI YA KATIBA: Yapunguza madaraka ya Rais, yaongeza Ibara kutoka Ibara 240 za Rasimu ya kwanza hadi Ibara 271, pia haki mpya 4 za binadamu zaongezwa.
 
Kumbe JK anasoma mitandao... bila shaka JF ipo kwenye list
 
Kazi nzuri sana Jaji Warioba

Hakika umefanya mapendekezo ya haki

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…