Wadau wa jf angalieni tbc wapo live viwanja vya karim jee tushuhudie makabiziano ya rasimu wajumbe wate wa tume wamesha wasili pia wanasheria wa tanganyia na zanzibar wapo tayari tutaendelea kujuzana zaidi
Hai great thinkers, naomba mwenye link ya kusikiliza au kutazama matangazo ya makabidhiano ya rasimu ya katiba aniwekee ili niweze kusikiliza, nipo very remote area, natanguliza shukurani kwa msaada wenu.