Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

ImageUploadedByJamiiForums1388406736.909115.jpg
 
Mheshimiwa Zitto yupo ndani ua Karimjee hall. Mbowe na Slaa wanahangaika na mahawara tu
 
pumba kelele mabezo na vitimbi viiingi vya ccm leo leo vimefika mwisho baada ya jaji walioba kupigilia msumari juu ya serikali tatu kuwa ndiyo suruhisho na mwarobain ya mungano

Mkuu, ni chadema ndio hawakutaka serikali 3 na Mgombea binafsi na yote yameingizwa katika rasimu ya pili. Nadhani hukupata briefing toka kwa wanywa gongo wenzako.
 
Shain inaonekana hana furaha nadhani kuna kitu kimemkwaza kwenye hii kitu ya serikali tatu au anajua kitakacho fuata baada ya kufufuka kwa tanganyika yetu...
 
Cdm tumeshinda nyumbani..ugenini(bungeni) sasa magamba watajipanga kutunyoosha...m4c team inabidi tuingie kambin mapema for the next match otherwise...
 
Mkuu, usishangilie sana. Hii ni sawa na kupewa mahindi mabichi utafune wakati hauna meno. Serikali tatu, uraia mmoja, rais mmoja, jeshi moja, polisi moja na usalama wa taifa mmoja. Umeona changamoto iliyo mbeleni?
Vipi yale mabaraza yetu ya katiba masikini Nape alihangaika sana lakini si riziki kaangukia pua.
 
Naona kubwa limeongelewa la muungano, ina Maana utajiri Wa nchi ya tanganyika utajadiliwa Katiba ya tanganyika? Basi maisha mazuri kuletwa Na Katiba Bado sana
katiba ya muungano sidhani kama itaongelea mambo ya serikali ya tanganyika.
 
Anatirirka kinoma nimemcheki live
Baadho ya mbo
-Wabunge kuwajibika hata kabla, nikamkumbuka wasira akifika bungeni kama yuko kwenye kitanda cha 6 kwa6
issue za bara haya wazanzibari wanashiriki lakini za. zanzobar wa bara hawahusoki
etc
 
Pemba yao unguja yao daresalaam yao bukoba yao dodoma yao ikulu yao

Wangekuwa serious, sasa hivi wange kuwa wamejikusanya Dodoma na sio karimjee, Dar. Hivyo hata hiyo Tanganyika nadhani ni geresha tu.
 
Cdm tumeshinda nyumbani..ugenini(bungeni) sasa magamba watajipanga kutunyoosha...m4c team inabidi tuingie kambin mapema for the next match otherwise...
mimi nimesikitika kuwa hawa wabunge wetu kina mnyika,msigwa,sugu,lema hawawezi kuwa mawaziri tena hata kama cdm watakamata madaraka.
 
Back
Top Bottom