MPARE KIBOGOYO
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 405
- 279
bora serikali 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sidhani kama kuna kitu kama hicho, tume ipo makini sana.
anajua chama chake kinakwenda kuzikwa rasmi 2015.Kwa nini rais amesononeka wakati hagombei tena?
pumba kelele mabezo na vitimbi viiingi vya ccm leo leo vimefika mwisho baada ya jaji walioba kupigilia msumari juu ya serikali tatu kuwa ndiyo suruhisho na mwarobain ya mungano
Vipi yale mabaraza yetu ya katiba masikini Nape alihangaika sana lakini si riziki kaangukia pua.Mkuu, usishangilie sana. Hii ni sawa na kupewa mahindi mabichi utafune wakati hauna meno. Serikali tatu, uraia mmoja, rais mmoja, jeshi moja, polisi moja na usalama wa taifa mmoja. Umeona changamoto iliyo mbeleni?
katiba ya muungano sidhani kama itaongelea mambo ya serikali ya tanganyika.Naona kubwa limeongelewa la muungano, ina Maana utajiri Wa nchi ya tanganyika utajadiliwa Katiba ya tanganyika? Basi maisha mazuri kuletwa Na Katiba Bado sana
Pemba yao unguja yao daresalaam yao bukoba yao dodoma yao ikulu yao
Mbona mnakulupuka subirini bunge la katiba hapo ni serikali mbili tu
Naona Prof. Shivji anatafakuri tu!!!
mimi nimesikitika kuwa hawa wabunge wetu kina mnyika,msigwa,sugu,lema hawawezi kuwa mawaziri tena hata kama cdm watakamata madaraka.Cdm tumeshinda nyumbani..ugenini(bungeni) sasa magamba watajipanga kutunyoosha...m4c team inabidi tuingie kambin mapema for the next match otherwise...