CDMhub
Senior Member
- Dec 21, 2013
- 184
- 93
Naona kubwa limeongelewa la muungano, ina Maana utajiri Wa nchi ya tanganyika utajadiliwa Katiba ya tanganyika? Basi maisha mazuri kuletwa Na Katiba Bado sana
Huu ni mwanzo mzuri....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kubwa limeongelewa la muungano, ina Maana utajiri Wa nchi ya tanganyika utajadiliwa Katiba ya tanganyika? Basi maisha mazuri kuletwa Na Katiba Bado sana
huyo itakua kajipeleka mwenyewe maana kama ni mwakilishi wa chama yupo Tundu Lissu.huyo Mobutu Sesseko yupo! Kaalikwa au chama kimemtuma au kajipeleka mwenyewe!
Mkuu, hata sisi tuna serikali zaidi ya Ishirini. Hizi tatu za nini tena?
Wanajamvi
Maandalizi yanaendelea ktk viwanja vya Ikulu
Niwasihi mvute subira tuwahabarishe na Wanajamvi walioko hapa tukio kubwa katika hatua ya utungaji wa katiba.
Ambapo Tume ya katiba watakabidhi
1.Ripoti ya utendaji wao tangia wameanza hadi tamati ya leo ndani itaeleza jinsi walivyowafikia Watanzania, Maoni ambayo hayakuwekwa kwenye rasimu,nk.
2.Rasimu ya 2 ya katiba baada ya kwanza kutoka na kujadiliwa
Ambayo Itampa Rais wa Jamhuri mamlaka pia ya kuitisha bunge la katiba liijadili hapo mwanzoni mwa 2014.
Mkuu, bado tuna Bunge la KatibaVipi yale mabaraza yetu ya katiba masikini Nape alihangaika sana lakini si riziki kaangukia pua.
Mkuu, utafutaje wakati huna mamlaka? Suluhisho hapa i serikali moja tu
Mbili pamoja na hizo zaidi ya 20 ambazo ni local zimeshindwa kutatua matatizo ya watanzania na kufikia malengo yetu ya kujitawala kutoka kwa wakoloni miaka zaidi ya 50 iliyopita.... Kwa kuwa zimeshindwa lazima tutafute mfumo ambao utakidhi mahitaji ya sasa.... Tukipata Serikali ya Tanganyika hatua itakayofuata ni kuifuta mikoa na kuwa na Kanda Tano (Counts/provinces) ambayo yatakuwa na nguvu ya kusimamia maendeleo ya wananchi...
Mheshimiwa Zitto yupo ndani ua Karimjee hall. Mbowe na Slaa wanahangaika na mahawara tu
Hayo si mambo ya muunganoVipi issue ya wakuu wa mikoa na wilaya?
mimi nimesikitika kuwa hawa wabunge wetu kina mnyika,msigwa,sugu,lema hawawezi kuwa mawaziri tena hata kama cdm watakamata madaraka.
waliwahi kukunong'oneza kuwa wanataka uwaziri?au ni kawaida tu kutema pumba hapa.mimi nimesikitika kuwa hawa wabunge wetu kina mnyika,msigwa,sugu,lema hawawezi kuwa mawaziri tena hata kama cdm watakamata madaraka.