Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Naona kubwa limeongelewa la muungano, ina Maana utajiri Wa nchi ya tanganyika utajadiliwa Katiba ya tanganyika? Basi maisha mazuri kuletwa Na Katiba Bado sana

Huu ni mwanzo mzuri....
 
huyo Mobutu Sesseko yupo! Kaalikwa au chama kimemtuma au kajipeleka mwenyewe!
huyo itakua kajipeleka mwenyewe maana kama ni mwakilishi wa chama yupo Tundu Lissu.
 
Mkuu, hata sisi tuna serikali zaidi ya Ishirini. Hizi tatu za nini tena?

Mbili pamoja na hizo zaidi ya 20 ambazo ni local zimeshindwa kutatua matatizo ya watanzania na kufikia malengo yetu ya kujitawala kutoka kwa wakoloni miaka zaidi ya 50 iliyopita.... Kwa kuwa zimeshindwa lazima tutafute mfumo ambao utakidhi mahitaji ya sasa.... Tukipata Serikali ya Tanganyika hatua itakayofuata ni kuifuta mikoa na kuwa na Kanda Tano (Counts/provinces) ambayo yatakuwa na nguvu ya kusimamia maendeleo ya wananchi...
 
Wanajamvi

Maandalizi yanaendelea ktk viwanja vya Ikulu

Niwasihi mvute subira tuwahabarishe na Wanajamvi walioko hapa tukio kubwa katika hatua ya utungaji wa katiba.

Ambapo Tume ya katiba watakabidhi
1.Ripoti ya utendaji wao tangia wameanza hadi tamati ya leo ndani itaeleza jinsi walivyowafikia Watanzania, Maoni ambayo hayakuwekwa kwenye rasimu,nk.

2.Rasimu ya 2 ya katiba baada ya kwanza kutoka na kujadiliwa
Ambayo Itampa Rais wa Jamhuri mamlaka pia ya kuitisha bunge la katiba liijadili hapo mwanzoni mwa 2014.

Baraza la mawaziri vipi? Unadhani nitakuwemo? Nasubiria kwa hamu sana, nina hisia hizo!
 
ImageUploadedByJamiiForums1388407185.785152.jpg
 
Mbili pamoja na hizo zaidi ya 20 ambazo ni local zimeshindwa kutatua matatizo ya watanzania na kufikia malengo yetu ya kujitawala kutoka kwa wakoloni miaka zaidi ya 50 iliyopita.... Kwa kuwa zimeshindwa lazima tutafute mfumo ambao utakidhi mahitaji ya sasa.... Tukipata Serikali ya Tanganyika hatua itakayofuata ni kuifuta mikoa na kuwa na Kanda Tano (Counts/provinces) ambayo yatakuwa na nguvu ya kusimamia maendeleo ya wananchi...
Mkuu, utafutaje wakati huna mamlaka? Suluhisho hapa i serikali moja tu
 
Hii ni report tu rasmu ya Tatu baada ya bunge la Katiba itakuwa na serikali mbili hiyo ndo Wananchi wanataka,hayo mengine ya Tume na Warioba wao ni hasira za kukaa benchi muda mrefu.
Rasmu gani imemezwa na kipengele kimoja kikubwa na vingine hata havionekani?
Naona tumeanza kutania Historia na maslahi ya nchi.
 
mimi nimesikitika kuwa hawa wabunge wetu kina mnyika,msigwa,sugu,lema hawawezi kuwa mawaziri tena hata kama cdm watakamata madaraka.
waliwahi kukunong'oneza kuwa wanataka uwaziri?au ni kawaida tu kutema pumba hapa.
 
Back
Top Bottom