Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

kikwete namkubali kwa jambo hili,,,katiba ni muhimu,,,alifanya jambo la maana,,,kuanzisha mchakato huu.
 
Mkuu, kwa muda mrefu wazanzibari walikuwa wanadai passport ya zanzibar, uraia wa zanzibar na sarafu ya zanzibar. Tatizo bado halijaisha
Huwezi kumaliza matatizo yote at a go hata ukipewa miaka mia lazima changamoto zitakuwepo.
 
Huyu jamaa anaakili kweli? Eti katiba iliyopo sio mbaya!
 
CCM haiwezi kuanguka chali isiwpokuwa CDM ndiyo chali, kwani yote waliyokuwa wakiyadai ovyo ovyo yalitupiliwa mbali baada ya wao kwenda wenyewe CDM kunywa "chai" Ikulu.

Hata hueleweki.. au ndo Kuchanganyikiwa, waambie CCM wanzako wajipange kupinga serikali tatu kwenye Bunge la katiba, Tume ya Warioba imekaata dhambi ya kuiuwa Tanganyika.
 
Hakika Jaji Mstaafu Warioba kafanya kazi kubwa na Ngumu kwa Uzalendo na uadirifu wa Hali ya Ya Juu,Mungu ampe Baraka za Maisha marefu zaidi.
 
CCM haiwezi kuanguka chali isiwpokuwa CDM ndiyo chali, kwani yote waliyokuwa wakiyadai ovyo ovyo yalitupiliwa mbali baada ya wao kwenda wenyewe CDM kunywa "chai" Ikulu.

katiba mpya yenyewe waliilazimishia wao...swala la muungano pia walilazimisha wao lijadiliwe...serikali tatu naamini hlo ndilo unalosema nila ccm teh teh teh..
 
  • Madaraka ya Rais yamepunguzwa.
  • wabunge wasiwe mawaziri
  • kuwe na ukomo wa wabunge
  • wananchi wawajibishe wabunge
  • spika/naibu wasiwe wabunge wala viongozi wa juu wa vyama vya siasa.
  • kuwepo na jeshi moja la Polisi na Usalama wa Taifa.
  • MUUNGANO39000 walitoa maoni kuhusu muungano Tanzania Bara,na karibu wote wa Zanzibar walitoa maoni kuhusu muungano
  • Taasisi nyingi zilipendekeza serikali tatu.
  • Malalamiko upande wa zanzibarSerikali ya Tanganyika imevaa koti la Tanzania
  • mambo ya muungano yamekuwa yakiongezeka kumuondoa rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa Rais Malalamiko Tanzania Bara.
  • Zanzibar imebadili katiba yake na kuchukua madaraka ya Jamuhuri ya Muungano
  • Wananchi wa Tanzania Bara kutokuwa na haki ya kumiliki ardhi Zanzibar
 
kama watagombea ubunge manake ni kuwa hawataweza kuwa mawaziri.bora waache mambo ya kugombea ubunge.mwenzao zito kaliona mapema ndo maana hagombei.
Zitto anaakili kweli ndiyo maana slaa na mbowe wanamgwaya kweli.
 
Hapo ndio penye 'dili' kubwa.

Hii ni report tu rasmu ya Tatu baada ya bunge la Katiba itakuwa na serikali mbili hiyo ndo Wananchi wanataka,hayo mengine ya Tume na Warioba wao ni hasira za kukaa benchi muda mrefu.
Rasmu gani imemezwa na kipengele kimoja kikubwa na vingine hata havionekani?
Naona tumeanza kutania Historia na maslahi ya nchi.
 
Back
Top Bottom