maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Zamani magroup ya uko tulikuwa tunazungumzia mambo ya kifamilia,kama misiba,harusi na mengineyo, lakini sasa hivi mjadala mkubwa ni Siasa na wengi hawampendi Mama
Anza kwa kwenda ikuluNa hasira kali sana..
Kisasi kitalipwa
Yaani mtu anatawala Tanganyika kutokea Zanzibar tena Mwanamke halafu midume imekaa kimya tu,nimeamini Mwanaume alikuwa Magufuri asingekubali huu upumbavu huyu Kikwete ni mrembo tuSAIZI MAJUBAA YUPO TUNGUU HAKI BONGO
Zamani magroup ya uko tulikuwa tunazungumzia mambo ya kifamilia,kama misiba,harusi na mengineyo, lakini sasa hivi mjadala mkubwa ni Siasa na wengi hawampendi Mama
Jifunze namna sahihi ya kutumia herufi kubwa pale panapostahili mwalimu wa lugha kabla haujaanza kukosoa makosa ya wengine.Jifunze kuandika vizuri kwanza ,Kisha ndio nisome Uzi wako
Sawa nimerekebisha , lakini hiyo ni simu jinsi ilivyojiseti wakati wa kuandika suggestion words yanakuja kwa herufi kubwa mara nyingi.Jifunze namna sahihi ya kutumia herufi kubwa pale panapostahili mwalimu wa lugha kabla haujaanza kukosoa makosa ya wengine.
Ni kawaida kwa kilaza kuchukiwana wengi hawampendi Mama
Hakuna familia isiyomjua the butcher...hata watoto wa miaka 12, 13 wanajua uovu wakeZamani magroup ya uko tulikuwa tunazungumzia mambo ya kifamilia,kama misiba,harusi na mengineyo, lakini sasa hivi mjadala mkubwa ni Siasa na wengi hawampendi Mama
Ungeanza na Rais wako ambaye hakusoma sana kutoka na maelezo yakeJifunze namna sahihi ya kutumia herufi kubwa pale panapostahili mwalimu wa lugha kabla haujaanza kukosoa makosa ya wengine.
Yaani mtu anatawala Tanganyika kutokea Zanzibar tena Mwanamke halafu midume imekaa kimya tu,nimeamini Mwanaume alikuwa Magufuri asingekubali huu upumbavu huyu Kikwete ni mrembo tu
Alijitahidi mbona, ana D moja ya Kiswahili form four na miswaki kwa masomo yaliyobaki.Ungeanza na Rais wako ambaye hakusoma sana kutoka na maelezo yake
Umeambiwa mauwaji wewe unakimbilia sijui ni znz.Hivi waliokufa sio watu au ofisi yenu Pale mikocheni inalipa shingapi.Kosa lake nini Mama Samia kuwa Mzanzibari anayetawala hii Jamhuri ya Muungano? Ni kosa Mzanzibari kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano? Kwani huu Muungano kauleta yeye? Kuna sheria au hiyo katiba yenu inazuia hili?
Halafu Mama Samia alikuwa ni Makamu wa Rais katika kipindi chote cha Magufuli. Maana yake ni nini?
Hivi mbona mnakuwa wajinga mno nyinyi?
Umeambiwa mauwaji wewe unakimbilia sijui ni znz.Hivi waliokufa sio watu au ofisi yenu Pale mikocheni inalipa shingapi.