Tukio la tarehe 29 0ctobar limehamishia Siasa majumbani na kwenye familia

Tukio la tarehe 29 0ctobar limehamishia Siasa majumbani na kwenye familia

Kosa lake nini Mama Samia kuwa Mzanzibari anayetawala hii Jamhuri ya Muungano? Ni kosa Mzanzibari kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano? Kwani huu Muungano kauleta yeye? Kuna sheria au hiyo katiba yenu inazuia hili?


Halafu Mama Samia alikuwa ni Makamu wa Rais katika kipindi chote cha Magufuli. Maana yake ni nini?


Hivi mbona mnakuwa wajinga mno nyinyi?
Makosa ya hilo shangingi ni mengi kupita maelezo kama umeamua kujitoa ufahamu kana kwamba hauyafahamu that's a different level of stupidity.
IMG_20251203_181938.jpg
downloadfile-2.jpg




downloadfile-39.jpg
 
Kosa lake nini Mama Samia kuwa Mzanzibari anayetawala hii Jamhuri ya Muungano? Ni kosa Mzanzibari kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano? Kwani huu Muungano kauleta yeye? Kuna sheria au hiyo katiba yenu inazuia hili?


Halafu Mama Samia alikuwa ni Makamu wa Rais katika kipindi chote cha Magufuli. Maana yake ni nini?


Hivi mbona mnakuwa wajinga mno nyinyi?
Kosa lake ni kuua na kuteka watanganyika
 
Wewe zombie la abdul ushaambiwa kisasi kitalipwa. Usitupangie njia ya kulipa kisasi
Nenda kesho kalipe ...NYUMBU nyie ...mnataka kupindua serikali kwa kushawishiwa na vimalaya vya Instagram wanaoishi marekani
 
Makosa ya hilo shangingi ni mengi kupita maelezo kama umeamua kujitoa ufahamu kana kwamba hauyafahamu that's a different level of stupidity.
View attachment 3519666View attachment 3519668
View attachment 3519665
View attachment 3519663
View attachment 3519662
View attachment 3519667



Ni nani waliifungua hii milango ya fitna? Ni nani waliwachochea watu kufanya vurugu na kufanya mapinduzi na matokeo yake imetokea fitna iliyowasibu waliohusika na wasiohusika, ni nani waliochochea?


Halafu niliyem quote umemsoma mpaka ukaona kwa nini nimemjibu vile?
 
Zamani magroup ya uko tulikuwa tunazungumzia mambo ya kifamilia,kama misiba,harusi na mengineyo, lakini sasa hivi mjadala mkubwa ni Siasa na wengi hawampendi Mama
Kuna Bibi mmoja hapa kabla ya uchaguzi alikua anamchukia sana Samuya sasa unajua nini kimetokea? Bibi aliposikia Samuya kaua vijana baada ya ile lockdown ghafla kabadirisha gear angani sasa hivi anampenda Samuya hakuna mfano mpaka najiuliza Bibi huyu Mchawi, Mwanga au ana matatizo ya akili ukimuuliza imekuaje anasema mdogo wake amezaliwa mwaka mmoja mwezi mmoja ila wamepishana tarehe tu na Samuya kwa hio Samuya ni km mdogo wake, nikasema Bibi kapagawa
 
Zamani magroup ya uko tulikuwa tunazungumzia mambo ya kifamilia,kama misiba,harusi na mengineyo, lakini sasa hivi mjadala mkubwa ni Siasa na wengi hawampendi Mama
Na huu usenge wanaopanga wa kuifuta Chadema ndiyo utawamaliza kwa kasi ya ajabu hawataamini macho na masikio yao.
 
Back
Top Bottom