Daaah! Tuchukue hatuaYanazidi kuingia kwetu pia
Daaah! Tuchukue hatuaYanazidi kuingia kwetu pia
Una akili timamu.????Nimesoma uzi, sijaona mahali alipoonesha chuki kwa Waislamu, unless unioneshe mstari mmoja tu. Huyo aliyejilipua hakua muislam? Na kaonesha kwamba sio first time; nani mwenye chuki hapo, mleta uzi au muhanga?
upungufu wa akili ni wakujilipua kuharibu ustaarabu wa wengineChuki yako kwa waislamu ni ya kipekee sana. Lakini kuwachukia usoeza kuwaumba wala kuwaua ni alama ya upungufu wa akili.
Narudia tena; nimesoma uzi wote, sijaona mahali ambapo mleta uzi kaonesha chuki kwa Waislamu au Uislam. Hilo la kwamba ninazo akili timamu au sina, libakie kwenye mtazamo wako binafsi. Halafu, kuitwa watu fulani "kobazi" binafsi sioni kama ni tatizo, nicknames zipo tu hata ungechukia. Mfano, Wakristo wanaitwaga Wagalatia, mara Walokole hivi unajua yote hayo ni nicknames ambazo baadhi ya watu huzitumia kuwa address wao? Lini umewahi kuwaona wanachukia? Kua na hasira kwa vitu vidogo vidogo sometimes inainesha you guys you are not matured vya kutosha.Una akili timamu.????
Neno makobazi ni msamiati unaotumiwa kumuwakilisha nani.?
Kweli akili zako si timamu, yaani unasema watu fulani huitwa kwa nickname fulani kisha unakanusha kuwa kobazi sio waislamu au Uislam. Kweli akili yako ikapimwe sawa sawa.Narudia tena; nimesoma uzi wote, sijaona mahali ambapo mleta uzi kaonesha chuki kwa Waislamu au Uislam. Hilo la kwamba ninazo akili timamu au sina, libakie kwenye mtazamo wako binafsi. Halafu, kuitwa watu fulani "kobazi" binafsi sioni kama ni tatizo, nicknames zipo tu hata ungechukia. Mfano, Wakristo wanaitwaga Wagalatia, mara Walokole hivi unajua yote hayo ni nicknames ambazo baadhi ya watu huzitumia kuwa address wao? Lini umewahi kuwaona wanachukia? Kua na hasira kwa vitu vidogo vidogo sometimes inainesha you guys you are not matured vya kutosha.
Uzuri mmoja huaga huwezi kukaa kwenye mstari. Unabadirika badirika sana, kaneno kamoja tu huaga kana kufanya ubadiri topic nzima. Bado hujanishawishi kwamba mwandishi ana chuki na Waislamu kutumia neno kobazi. Waislamu kwasababu ya namna yenu ya kusali huaga mnavua viatu and hence, viatu vya wazi kama ndala, sandozi vinakua ni rafiki kwasababu ya life style yenu, sandozi wahuni ndio wanaita kobazi, kobazi ni viatu vya kimasai, wananchi wa kawaida bongo tumevitumia sana miaka ya 80 wakati wa hali ngumu ya uchumi, vilitokana na tairi za magari na pikipiki. Hadi hapo, kuna chuki gani? Kwani sio kweli kwamba Waislamu hupendelea kuvaa open shoes? Kuna chuki gani mkuu? Usibadiri topicKweli akili zako si timamu, yaani unasema watu fulani huitwa kwa nickname fulani kisha unakanusha kuwa kobazi sio waislamu au Uislam. Kweli akili yako ikapimwe sawa sawa.
Unakubaliana kuwa neno kobazi ni msamiati ulioegemezwa kwa waislamu.?Uzuri mmoja huaga huwezi kukaa kwenye mstari. Unabadirika badirika sana, kaneno kamoja tu huaga kana kufanya ubadiri topic nzima. Bado hujanishawishi kwamba mwandishi ana chuki na Waislamu kutumia neno kobazi. Waislamu kwasababu ya namna yenu ya kusali huaga mnavua viatu and hence, viatu vya wazi kama ndala, sandozi vinakua ni rafiki kwasababu ya life style yenu, sandozi wahuni ndio wanaita kobazi, kobazi ni viatu vya kimasai, wananchi wa kawaida bongo tumevitumia sana miaka ya 80 wakati wa hali ngumu ya uchumi, vilitokana na tairi za magari na pikipiki. Hadi hapo, kuna chuki gani? Kwani sio kweli kwamba Waislamu hupendelea kuvaa open shoes? Kuna chuki gani mkuu? Usibadiri topic
"Museveni siku hizi amelegea, makobaz ameyaachia yanaanza kuzagaa na yanamshika kidevu"Uzuri mmoja huaga huwezi kukaa kwenye mstari. Unabadirika badirika sana, kaneno kamoja tu huaga kana kufanya ubadiri topic nzima. Bado hujanishawishi kwamba mwandishi ana chuki na Waislamu kutumia neno kobazi. Waislamu kwasababu ya namna yenu ya kusali huaga mnavua viatu and hence, viatu vya wazi kama ndala, sandozi vinakua ni rafiki kwasababu ya life style yenu, sandozi wahuni ndio wanaita kobazi, kobazi ni viatu vya kimasai, wananchi wa kawaida bongo tumevitumia sana miaka ya 80 wakati wa hali ngumu ya uchumi, vilitokana na tairi za magari na pikipiki. Hadi hapo, kuna chuki gani? Kwani sio kweli kwamba Waislamu hupendelea kuvaa open shoes? Kuna chuki gani mkuu? Usibadiri topic
Yes, nakubaliana na wala sioni kama ni tatizo. Dini zote, watu wanatoa nicknames, same Waislamu wanawaitaga Wakristo kwa jina la utani la Wagalatia, na limeanza kutumika enzi za kina sheikh Mazingi wakiwa vijana miaka ya mwanzoni mwa 90; is there any problem? Na Wakristo hawajawahi kukasirika, hawaoni kama ni tatizo wao kuitwa Wagalatia. Kukasirikia vitu vidogo kama hivyo inaonesha maturity ya wengi ni NDOGO sanaUnakubaliana kuwa neno kobazi ni msamiati ulioegemezwa kwa waislamu.?