Tukipambanisha CV"s za Mtaalam Pablo ( Spain ) na Tapeli Nabi ( Tunisia ) kwa Aibu Yanga SC wanaweza wakaamua Kumfurumusha Asubuhi tu Jangwani

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kwa Utaalam niliousikia anao Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango vya Kimataifa na vya Mbinguni Bwana Pablo kutoka nchini Hispania nimedokezwa kuwa kuna Kozi moja ataiendesha nchini Tanzania ambapo Makocha kama Nabi, Kaze na Zahera hawana jinsi na watalazimika tu Kuhudhuria na Kuhitimu ili Kupunguza idadi ya Kipigo cha Goli za Kttosha ambacho huenda wakakipata tarehe 11 Desemba, 2021 Uwanja wa Mkapa Wilayani Temeke Mkoani Dar es Salaam.
 
Kwa ubovu wa Makolo fc nae ataondoka tu kama Gomez. Naona Babra anawaokota walatino wenzake na kuwaleta kuwa makocha
 
Naomba maoni yako kuhusu CV yake hii Kubwa na Kali tafadhali. Vipi Yanga SC nanyi hantamani kuwa na Kocha kama huyu Pablo Franco wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata na vya Mbinguni kwa Mungu Baba pia?
 
Gomez hakuwa na cv? Leo hii yupo wapi?timu mbovu uyo kocha muuza unga kaja kubeb lawama tu
 
Kwa Utaalam niliousikia anao Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango vya Kimataifa na vya Mbinguni Bwana Pablo kutoka nchini Hispania nimedokezwa kuwa kuna Kozi moja ataiendesha nchini Tanzania ambapo Makocha kama Nabi, Kaze na Zahera hawana jinsi na watalazimika tu Kuhudhuria na Kuhitimu ili Kupunguza idadi ya Kipigo cha Goli za Kttosha ambacho huenda wakakipata tarehe 11 Desemba, 2021 Uwanja wa Mkapa Wilayani Temeke Mkoani Dar es Salaam.
Hahaha
 
Naomba maoni yako kuhusu CV yake hii Kubwa na Kali tafadhali. Vipi Yanga SC nanyi hantamani kuwa na Kocha kama huyu Pablo Franco wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata na vya Mbinguni kwa Mungu Baba pia?
Real Madrid kawa kocha msaidizi miezi 3 akatimuliwa
Getafe kama kocha mkuu kaiongoza michezo 10 kashinda 3 kafungwa 7 akatimuliwa
Akaenda Kuwait kafundisha timu yake ikawa inakaribia kushuka daraja akatimuliwa
Hajawahi kushinda taji lolote
Ndio mara yake ya kwanza kufundisha Africa
 
Tumepata kocha nguvu moja.
Screenshot_20211106-224548.jpg
 
Kwa Utaalam niliousikia anao Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango vya Kimataifa na vya Mbinguni Bwana Pablo kutoka nchini Hispania nimedokezwa kuwa kuna Kozi moja ataiendesha nchini Tanzania ambapo Makocha kama Nabi, Kaze na Zahera hawana jinsi na watalazimika tu Kuhudhuria na Kuhitimu ili Kupunguza idadi ya Kipigo cha Goli za Kttosha ambacho huenda wakakipata tarehe 11 Desemba, 2021 Uwanja wa Mkapa Wilayani Temeke Mkoani Dar es Salaam.
Madaktari wa Milembe mgonjwa wenu mmemuachia smart phone!
 
Back
Top Bottom