Tukipambanisha CV"s za Mtaalam Pablo ( Spain ) na Tapeli Nabi ( Tunisia ) kwa Aibu Yanga SC wanaweza wakaamua Kumfurumusha Asubuhi tu Jangwani

Tukipambanisha CV"s za Mtaalam Pablo ( Spain ) na Tapeli Nabi ( Tunisia ) kwa Aibu Yanga SC wanaweza wakaamua Kumfurumusha Asubuhi tu Jangwani

Kwa Utaalam niliousikia anao Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango vya Kimataifa na vya Mbinguni Bwana Pablo kutoka nchini Hispania nimedokezwa kuwa kuna Kozi moja ataiendesha nchini Tanzania ambapo Makocha kama Nabi, Kaze na Zahera hawana jinsi na watalazimika tu Kuhudhuria na Kuhitimu ili Kupunguza idadi ya Kipigo cha Goli za Kttosha ambacho huenda wakakipata tarehe 11 Desemba, 2021 Uwanja wa Mkapa Wilayani Temeke Mkoani Dar es Salaam.
Ushabiki wa kunguruwe huu

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
kumbe Gomes ana CV na mnajua ,mbona mlikuwa mnapiga kelele kwamba akasome gumbaru
Hakuna Mtu asiye na CV, hata wewe na upopoma wako Una CV. Au hili neno kwako Lina maana tofauti labda?
 
Nahisi huyu kocha hata huko Madrid alikuwa mpishi tu
 
Mashabiki wa bongo wanakukubali ndani ya dakika, kukukataa haizidi sekunde.
 
Yanga tutulie, tupange kuhusu ubingwa we2...shida zao hazituhusu pia mafanikio yao hayatuhusu em tuishi kivyetu mbn iko wazi YANGA NI MME WA SIMBA young killer kaomba hvo
Makolo FC waki-reply kwenye hii post yako mkuu,
 
Back
Top Bottom