MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kwa ubovu wa Makolo fc nae ataondoka tu kama Gomez. Naona Babra anawaokota walatino wenzake na kuwaleta kuwa makochaKwa Utaalam niliousikia anao Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango vya Kimataifa na vya Mbinguni Bwana Pablo kutoka nchini Hispania nimedokezwa kuwa kuna Kozi moja ataiendesha nchini Tanzania ambapo Makocha kama Nabi, Kaze na Zahera hawana jinsi na watalazimika tu Kuhudhuria na Kuhitimu ili Kupunguza idadi ya Kipigo cha Goli za Kttosha ambacho huenda wakakipata tarehe 11 Desemba, 2021 Uwanja wa Mkapa Wilayani Temeke Mkoani Dar es Salaam.
Naomba maoni yako kuhusu CV yake hii Kubwa na Kali tafadhali. Vipi Yanga SC nanyi hantamani kuwa na Kocha kama huyu Pablo Franco wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata na vya Mbinguni kwa Mungu Baba pia?Kwa ubovu wa Makolo fc nae ataondoka tu kama Gomez. Naona Babra anawaokota walatino wenzake na kuwaleta kuwa makocha
Gomez hakuwa na cv? Leo hii yupo wapi?timu mbovu uyo kocha muuza unga kaja kubeb lawama tuNaomba maoni yako kuhusu CV yake hii Kubwa na Kali tafadhali. Vipi Yanga SC nanyi hantamani kuwa na Kocha kama huyu Pablo Franco wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata na vya Mbinguni kwa Mungu Baba pia?
kumbe Gomes ana CV na mnajua ,mbona mlikuwa mnapiga kelele kwamba akasome gumbaruGomez hakuwa na cv? Leo hii yupo wapi?timu mbovu uyo kocha muuza unga kaja kubeb lawama tu
Bado hata hajasinya Simba SC Mavi yameshaanza Kugonga Vyupini mwenu je, akisinya Jumatatu si ndiyo mtakunya kabisa? Poleni Watani..!!Gomez hakuwa na cv? Leo hii yupo wapi?timu mbovu uyo kocha muuza unga kaja kubeb lawama tu
HahahaKwa Utaalam niliousikia anao Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango vya Kimataifa na vya Mbinguni Bwana Pablo kutoka nchini Hispania nimedokezwa kuwa kuna Kozi moja ataiendesha nchini Tanzania ambapo Makocha kama Nabi, Kaze na Zahera hawana jinsi na watalazimika tu Kuhudhuria na Kuhitimu ili Kupunguza idadi ya Kipigo cha Goli za Kttosha ambacho huenda wakakipata tarehe 11 Desemba, 2021 Uwanja wa Mkapa Wilayani Temeke Mkoani Dar es Salaam.
Naomba maoni yako kuhusu CV yake hii Kubwa na Kali tafadhali. Vipi Yanga SC nanyi hantamani kuwa na Kocha kama huyu Pablo Franco wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata na vya Mbinguni kwa Mungu Baba pia?
Rejea kauli ya msukule ukiachana na baba ake mzee manara na mzee kikwete walioopo yanga wote hawana akilikumbe Gomes ana CV na mnajua ,mbona mlikuwa mnapiga kelele kwamba akasome gumbaru
Punguza makasirikio ndio kwanza ligi bado mbichiSimba Wamemtoa ligi ya kuwait so hana Maajabu ki hivyo.
naona leo wameumia sana wanaadika mada nyingi content zile zile. Washaogopa ingawa wanaongeza ligiRejea kauli ya msukule ukiachana na baba ake mzee manara na mzee kikwete walioopo yanga wote hawana akili
Usishangae wakimtetea da rossa
Kuimba kupokezananaona leo wameumia sana wanaadika mada nyingi content zile zile. Washaogopa ingawa wanaongeza ligi
Real Madrid kawa kocha msaidizi miezi 3 akatimuliwaNaomba maoni yako kuhusu CV yake hii Kubwa na Kali tafadhali. Vipi Yanga SC nanyi hantamani kuwa na Kocha kama huyu Pablo Franco wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata na vya Mbinguni kwa Mungu Baba pia?
Madaktari wa Milembe mgonjwa wenu mmemuachia smart phone!Kwa Utaalam niliousikia anao Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango vya Kimataifa na vya Mbinguni Bwana Pablo kutoka nchini Hispania nimedokezwa kuwa kuna Kozi moja ataiendesha nchini Tanzania ambapo Makocha kama Nabi, Kaze na Zahera hawana jinsi na watalazimika tu Kuhudhuria na Kuhitimu ili Kupunguza idadi ya Kipigo cha Goli za Kttosha ambacho huenda wakakipata tarehe 11 Desemba, 2021 Uwanja wa Mkapa Wilayani Temeke Mkoani Dar es Salaam.
Kuna kocha ambaye hana cv? Gomez cv yake hana vyetikumbe Gomes ana CV na mnajua ,mbona mlikuwa mnapiga kelele kwamba akasome gumbaru