Kwa Utaalam niliousikia anao Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango vya Kimataifa na vya Mbinguni Bwana Pablo kutoka nchini Hispania nimedokezwa kuwa kuna Kozi moja ataiendesha nchini Tanzania ambapo Makocha kama Nabi, Kaze na Zahera hawana jinsi na watalazimika tu Kuhudhuria na Kuhitimu ili Kupunguza idadi ya Kipigo cha Goli za Kttosha ambacho huenda wakakipata tarehe 11 Desemba, 2021 Uwanja wa Mkapa Wilayani Temeke Mkoani Dar es Salaam.