Tukipika kuku nyumbani, mimi nalishwa vipapatio, vitoto vyangu vya umri wa miaka 5 na 8 ndio vinalishwa mapaja. Je, hii ni sahihi wakuu?

"inatakiwa mkae chini mzungumze umuingize imuingie misimamo yako" cc wagos wa kaya
 
🤣🤣🤣 hyo nayo n dalili ya kutokomaa kiakili iv bdo kuna wanaume wanategemea chakula cha nyumban mm hata nikileta klo mbili ya nyama ata aspo niwekea mm pw ndyo uwanaume maana kijiwen tusha shba
 
Kwa sie watumia kilaji mazaga zaga tunakula Bar haina haja ya kuzonganiana mapaja na watoto 😂

Jumapili nikiwa nime chill maskani na familia tukinunua kuku basi hapo ujue lazima wakati kuku anachemshwa nitaletewa supu ya firigisi, korodani za jogoo, moyo na kichwa na miguu ya kuku
 
Kwani hivyo vipapatio ni vya panya?
 
Mila ichukue hatamu yake Mkuu 😂
 
Mkuu,
Huwa unaongea vizuri sana sana, maturity yako ni zaidi ya umri wako. Hongera.

Nina kanuni hiyo pia, watoto wale vizuri, hizo desturi za zamani kwangu hazina nafasi, japo siwekewi vipapatio ila napenda kuona madogo wanakula vizuri.
Huyu mtoto, ni kati ya watoto wenye akili timamu kichwani.
 
Watoto ndiyo wanastahili kula zaidi kwa vile wao wanakuwa bado wanahitaji zaidi protein kuliko wewe, wacha watoto wafaidi wewe jumehakula vingi .
 
Kwetu kidari ni cha baba. Inwezzekana kwao vipapatio ndio vya baba. Mwelekeze kuwa baba anatakiwa apewe sehemu ipi kwa mila za kwenu.
 
Safii
 
Dah wakati mzazi inatakiwa usile mpaka mtoto ashibe ila cha ajabu wewe mzazi tena unaanza kulilia mapaja jitahidi kua mtu mzima basi dah
 
Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.
Kwanini unamuogopa mkeo kiasi hicho ?
 
Sioni kuwa mtoa mada anataka watoto wake wasiwe na afya nzuri kwa kutokula mapaja! Hii Inafikirisha
 
Mkeo amekuona bwege kama unavyosema mkeo ametoka familia yenye fedha ,,yawezekana hata hiyo familia mkeo ndio anahudumia kwa asilimia kubwa ,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…