mjusilizard
JF-Expert Member
- Nov 7, 2019
- 1,027
- 1,869
😹😹😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"inatakiwa mkae chini mzungumze umuingize imuingie misimamo yako" cc wagos wa kayaWakuu Bwana Yesu asifiwe!
Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.
Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na ustaarabu wa kiafrika endapo itatokea familia ikachinja kuku basi baba ndiye mwenye kustahili kula mapaja ya kuku.
Sasa hapa kwangu sielewi wife ananichukuliaje, yaani kila kuku akichinjwa basi mimi father house ntalishwa vipapatio na vitoto vyangu viwili vya kiume vyenyewe ndio vinawekewa mapaja. Hii kitu wakuu inanishangaza kidogo as iko kinyume na mila na desturi za kiafrica.
Wife yeye kwao walikua ni mambo safi hivyo nadhani hawakua watu wa kujali vitu hivyo vidogo vidogo ndio maana anaona ni sawa tu mimi Baba kula vipapatio.
Wakuu, nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe kuwa siridhishwi na kulishwa vipapatio?
🤣🤣🤣 hyo nayo n dalili ya kutokomaa kiakili iv bdo kuna wanaume wanategemea chakula cha nyumban mm hata nikileta klo mbili ya nyama ata aspo niwekea mm pw ndyo uwanaume maana kijiwen tusha shbaWakuu Bwana Yesu asifiwe!
Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.
Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na ustaarabu wa kiafrika endapo itatokea familia ikachinja kuku basi baba ndiye mwenye kustahili kula mapaja ya kuku.
Sasa hapa kwangu sielewi wife ananichukuliaje, yaani kila kuku akichinjwa basi mimi father house ntalishwa vipapatio na vitoto vyangu viwili vya kiume vyenyewe ndio vinawekewa mapaja. Hii kitu wakuu inanishangaza kidogo as iko kinyume na mila na desturi za kiafrica.
Wife yeye kwao walikua ni mambo safi hivyo nadhani hawakua watu wa kujali vitu hivyo vidogo vidogo ndio maana anaona ni sawa tu mimi Baba kula vipapatio.
Wakuu, nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe kuwa siridhishwi na kulishwa vipapatio?
Kwani hivyo vipapatio ni vya panya?Wakuu Bwana Yesu asifiwe!

Huyu mtoto, ni kati ya watoto wenye akili timamu kichwani.Mkuu,
Huwa unaongea vizuri sana sana, maturity yako ni zaidi ya umri wako. Hongera.
Nina kanuni hiyo pia, watoto wale vizuri, hizo desturi za zamani kwangu hazina nafasi, japo siwekewi vipapatio ila napenda kuona madogo wanakula vizuri.
Ahh basi tu, we huoni raha? kama hii mada inatia raha sana 😂Raha gani asa mkuu?
Watoto ndiyo wanastahili kula zaidi kwa vile wao wanakuwa bado wanahitaji zaidi protein kuliko wewe, wacha watoto wafaidi wewe jumehakula vingi .Wakuu Bwana Yesu asifiwe!
Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.
Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na ustaarabu wa kiafrika endapo itatokea familia ikachinja kuku basi baba ndiye mwenye kustahili kula mapaja ya kuku.
Sasa hapa kwangu sielewi wife ananichukuliaje, yaani kila kuku akichinjwa basi mimi father house ntalishwa vipapatio na vitoto vyangu viwili vya kiume vyenyewe ndio vinawekewa mapaja. Hii kitu wakuu inanishangaza kidogo as iko kinyume na mila na desturi za kiafrica.
Wife yeye kwao walikua ni mambo safi hivyo nadhani hawakua watu wa kujali vitu hivyo vidogo vidogo ndio maana anaona ni sawa tu mimi Baba kula vipapatio.
Wakuu, nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe kuwa siridhishwi na kulishwa vipapatio?
Kwetu kidari ni cha baba. Inwezzekana kwao vipapatio ndio vya baba. Mwelekeze kuwa baba anatakiwa apewe sehemu ipi kwa mila za kwenu.Wakuu Bwana Yesu asifiwe!
Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.
Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na ustaarabu wa kiafrika endapo itatokea familia ikachinja kuku basi baba ndiye mwenye kustahili kula mapaja ya kuku.
Sasa hapa kwangu sielewi wife ananichukuliaje, yaani kila kuku akichinjwa basi mimi father house ntalishwa vipapatio na vitoto vyangu viwili vya kiume vyenyewe ndio vinawekewa mapaja. Hii kitu wakuu inanishangaza kidogo as iko kinyume na mila na desturi za kiafrica.
Wife yeye kwao walikua ni mambo safi hivyo nadhani hawakua watu wa kujali vitu hivyo vidogo vidogo ndio maana anaona ni sawa tu mimi Baba kula vipapatio.
Wakuu, nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe kuwa siridhishwi na kulishwa vipapatio?
SafiiWatoto wanayahitaji hayo mapaja ya kuku kuliko wewe, si wanakua?
Wewe si utakula tu huko mtaani...
Wala hata sio jambo la uanaume wala nini, ni utu tu
Si umeona mkeo japokuwa hajakutengea kawapa watoto na sio kula yeye? Unadhani kawaza nini?
Legeza bwana😅
Dah wakati mzazi inatakiwa usile mpaka mtoto ashibe ila cha ajabu wewe mzazi tena unaanza kulilia mapaja jitahidi kua mtu mzima basi dahWakuu Bwana Yesu asifiwe!
Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.
Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na ustaarabu wa kiafrika endapo itatokea familia ikachinja kuku basi baba ndiye mwenye kustahili kula mapaja ya kuku.
Sasa hapa kwangu sielewi wife ananichukuliaje, yaani kila kuku akichinjwa basi mimi father house ntalishwa vipapatio na vitoto vyangu viwili vya kiume vyenyewe ndio vinawekewa mapaja. Hii kitu wakuu inanishangaza kidogo as iko kinyume na mila na desturi za kiafrica.
Wife yeye kwao walikua ni mambo safi hivyo nadhani hawakua watu wa kujali vitu hivyo vidogo vidogo ndio maana anaona ni sawa tu mimi Baba kula vipapatio.
Wakuu, nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe kuwa siridhishwi na kulishwa vipapatio?
Kwanini unamuogopa mkeo kiasi hicho ?Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.